Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Mama alikuwa anajipakulia minyama bana Ulitaka aseme kuna mpinzani anamuhofia?
Hata kwenye chama chake mwendo ni huo huo.
 
Leo Mama ameongea ukweli unaouma kwa ndugu zetu CHADEMA, Mama ni mwanasiasa hasa na ameiva, yupo vizuri haswaa BAWACHA/CHADEMA ujumbe umefika kama kisu kimepiga kwenye mfupa.

Mitano tena kwa Mama.
Wala hata haujamuelewa, ndiyo tatizo la kutumia boga badala ya kichwa
 
Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Lini Tanzania ilikosa amani? Tanzania miaka yote huwa inajivunia amani tu sio maendeleo utafikiri nchi zote zipo vitani kasoro yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…