Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

Pesa ya kwake kwanini unampangia? Au amekwambia ni pesa ya walipa Kodi ?

Umezingua
Watu wanaongea mana wana experience na hayo mambo, foundation kibao zimekaa kiupigaji tuu. Sasa subiri uone mwanzo na mwisho wa hy Foundation.

[emoji1] foundation

Ngoja nitafanya uchunguZi wangu nione nani wako nyuma na wanamsaidia
Kwenye hiyo foundation [emoji848]
Lakini huwezi jua labda wamedhamiria serious kusaidia
Mambo ya Figo

Ova
Tusubiri tuone watakaosaidiwa ila kwa upande wangu hapo ni upigaji tuu
 
Mimi Naona tuitumie ile Account ya Amina Chifupa Foundations kukusanyia michango ya namna hii na inayofanana nayo,Badala ya kuanzisha Foundation nyingine.Kitakachopatikana,Wagawane hao watu wote mashuhuri wenye shida na matatizo ya ugonjwa n.k.
 
Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.

Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.

Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.

Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.

Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
Usiwe ivyo mtumishi
 
Wanawake hawana akili iliyotimia kuongoza kundi kubwa la watu, uongozi waachiwe wanaume wanaojitambua.
Hata kwenye ngazi ya familia haikua ujinga kumfanya mwanaume ndo kiongozi mkuu.
Sio kwel kuna wanawake vipanga , labda kwa sisi wamatumbi ndio tupo nyuma bado.
 
Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.

Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.

Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.

Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.

Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom