Eh inamaana ccm tabia ya kununua wanachama wa chadema bado hawajaacha tuu πKarudi CCM, Pia Foundation Nyingi Ni Utakatishaji Fedha Tu
Watu wanaongea mana wana experience na hayo mambo, foundation kibao zimekaa kiupigaji tuu. Sasa subiri uone mwanzo na mwisho wa hy Foundation.Pesa ya kwake kwanini unampangia? Au amekwambia ni pesa ya walipa Kodi ?
Umezingua
Tusubiri tuone watakaosaidiwa ila kwa upande wangu hapo ni upigaji tuu[emoji1] foundation
Ngoja nitafanya uchunguZi wangu nione nani wako nyuma na wanamsaidia
Kwenye hiyo foundation [emoji848]
Lakini huwezi jua labda wamedhamiria serious kusaidia
Mambo ya Figo
Ova
Mkewe naye kapewa wazo na naniHiyo foundation itakuwa ni wazo la mkewe. Anyway, acha wajipigie tu hizo pesa
Teh tehHiyo foundation itakuwa ni wazo la mkewe. Anyway, acha wajipigie tu hizo pesa
Usiwe ivyo mtumishiHalafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.
Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.
Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.
Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.
Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
kumbe sku hizi ni muyao na wwMzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza
Sio kwel kuna wanawake vipanga , labda kwa sisi wamatumbi ndio tupo nyuma bado.Wanawake hawana akili iliyotimia kuongoza kundi kubwa la watu, uongozi waachiwe wanaume wanaojitambua.
Hata kwenye ngazi ya familia haikua ujinga kumfanya mwanaume ndo kiongozi mkuu.
Ezeeeeeeeekieeeeeellll mmmmmmmbagaaaaaaaHiyo foundation ikifanya kazi kwa kusaidia wengine nahama hii nchi, watu wanajivika utajiri kwa kisingizio cha Foundation
Naunga mkono hoja.Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.
Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.
Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.
Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.
Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
Cc LIKUDMzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
Chawa ulipoteaga wapi?Naunga mkono hoja.
Chawa ni baba yakoChawa ulipoteaga wapi?
Tulia wewee chawa. Umerudi jamvin na mihasira.Chawa ni baba yako
The sunk cost fallacy 2 mutu wangu wa nguvuuuuuTulia wewee chawa. Umerudi jamvin na mihasira.