Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

Kama nakuelewa vile😍
Wanawake hawana akili iliyotimia kuongoza kundi kubwa la watu, uongozi waachiwe wanaume wanaojitambua.
Hata kwenye ngazi ya familia haikua ujinga kumfanya mwanaume ndo kiongozi mkuu.
Hasa huku kwetu Afric
 
100% umeongea ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema. Kula gwala
 
[emoji1] foundation

Ngoja nitafanya uchunguZi wangu nione nani wako nyuma na wanamsaidia
Kwenye hiyo foundation [emoji848]
Lakini huwezi jua labda wamedhamiria serious kusaidia
Mambo ya Figo

Ova
Thubutu.....!!
 
Kwasababu amemsifia kwenye wimbo wake
 
1. Foundation hiyo tayari imezinduliwa na huna cha kuifanya. Mwamko upo na hata mimi popoma nishatuma mchango wangu

2. Foundation itachangia matibabu kwa makumi ya wagonjwa wa figo lakini pia imeshatoa na inatoa hamasa kubwa kuhusu ugonjwa huo na hivyo kuokoa mamia ya watu. Wizara ya afya ingeamua kufanya hamasa ya kuweka hii awareness unafkiri hiyo kampeni ingegharimu shilingi ngapi?

3. Prof Jay ameamua kuihudumia jamii yake katika hali zote na kwa namna zote mpaka mwisho wa uhai wake. Yeye na Sugu ndio wasanii pekee wenye hiyo crown mpaka sasa

4. Tujaribu kuheshimu sana juhudi za Prof Jay kwa jamii katika muda wake huu wa lala salama. To me,he is a super hero!

Karibuni wenye mapenzi mema tuchangie foundation yake kwa bukubuku zetu kadri tulivyojaaliwa. Watu wenye wivu na majina ya watu tuwaachie ghilba hiyo iwatese mpaka wafe!
 
Uko sahihi kabisa. Cjui kwanini watanzania wanawaza kushindwa kabla ya kuanza. Tuna mawazo hasi muda wote. Mi mwenyewe nimemchangia mshikaji
 
Idiots hamtopungua Tanzania na hapa JamiiForums.
 
Uko sahihi kabisa. Cjui kwanini watanzania wanawaza kushindwa kabla ya kuanza. Tuna mawazo hasi muda wote. Mi mwenyewe nimemchangia mshikaji
Huna IQ ya Kunielewa hivyo acha kunipotezea muda tafadhali sawa?
 
Watanzania mna nogwa!!? Hiyo yote inasababishwa na ugumu wa maisha, jamani twendeleeni kutafuta pesa tuache makasiriko ya vitu vidogo vidogo.

Kama mtu uko vzr kiuchumi huwezi kuchukia jamaa yule kwa Hali aliyonayo kuanzia hiyo foundation hata kama pesa yote atakula mwenyewe.
 
Iko simpo, kampeni zinakaribia lazima aguse sehemu ambayo ataonekana.
 
Umesema Prof anatupenda sanaa katupa burudani,katueleimisha,katuonya,ametuongoza na bado anatupa elimu na namna ya kujikwamua kutoka kwenye maradhi ya figo.
Na mm nachangia umenigusa..
MVP.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…