MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mimi ni mwana Afrika Mashariki pekee.Acha kutokwa na mapovu au wewe ni side chick ya Paulo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwana Afrika Mashariki pekee.Acha kutokwa na mapovu au wewe ni side chick ya Paulo?
Waelimishe na Majuha wengine Jamvini.Nimekuelewa bwashee!
Hahahaaaa...... Ngoja aje Genta!Waelimishe na Majuha wengine Jamvini.
Sasa kama alishatuma yanini kutuma tuma salamu za pole kila mara? Mimi sikutizama maziko ya JIWE nilikuwa sina muda,nilivyoona hapa ndio nikajua ndio mara ya kwanza kutoa pole ,sasa kama alishatuma awali kwanini aendelee tu kutuma? Ukishatoa pole mara moja inatosha.Rejea tukio la Kumuaga Hayati Rais Dkt. Magufuli Kitaifa pale Dodoma kisha msikilize aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Kabudi alimtaja nani kutoka Rwanda Kumuwakilisha Rais Kagame na alitoa Salamu zake zipi...
Waelimishe na Majuha wengine Jamvini.
Dogo si utoke nje tu hujumuike na masela. Wewe muda wote tu unaning'iniza poumbou sofani kwa shemeji yaAcha Ushamba katika Medani za Diplomasia na Itifaki huwa hakuna Msamiati wa Kuwahi au Kuchelewa hasa katika kutoa Tamko au Taarifa fulani. Nasisitiza tena acha Ushamba.
Unawawakilisha Wapumbavu Wenzako.Sasa kama alishatuma yanini kutuma tuma salamu za pole kila mara? Mimi sikutizama maziko ya JIWE nilikuwa sina muda,nilivyoona hapa ndio nikajua ndio mara ya kwanza kutoa pole ,sasa kama alishatuma awali kwanini aendelee tu kutuma? Ukishatoa pole mara moja inatosha.
Pili na wewe ni mjinga sana kwa kuona sawa huyo PK anavyotuma salamu za pole kila mara.
Huyu unaweza kutaka kumyumbisha Samia...yakaanza yale ya Afrika Kusini.Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame..
Dharau tumzee wa mikakati bhana! siku zote alikuwa anafikiria kutoa pole au hakusikia msiba wa kifo cha raisi mwana east africa mwenzie... vituko tu hivi
Huyu jamaa ni dharau na kibriHuyu unaweza kutaka kumyumbisha Samia...yakaanza yale ya Afrika Kusini.
We Nyang'wale, huna haja ya kupanic.Another Fool. Nani kakuambia kuwa Kidiplomasia na Kiitifaki Safari au Ziara za Marais hupangwa Kiholela kama Wewe unavyotoka Kyela kwenda Namtumbo kila ukijisikia tu.
Tatizo lenu mnapenda sana Majungu.
Alikuwa haamini Kama mwendazake ndio kaenda hvyoAmetuma Leo??? Mbona inashangaza alikuwa wapi muda wote?
KinujuLisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Unawawakilisha Wapumbavu uliowazidi.We Nyang'wale, huna haja ya kupanic.
Mi wa Gamboshi na Kyela wapi na wapi...
Lissu ni taahiraLisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Na nyie wajinga wajinga vipi?Unawawakilisha Wapumbavu uliowazidi.