Rais Samia: Mabadiliko ya Viongozi Serikalini yataendelea mpaka mstari unyooke

sema mpaka wazanzibar wote wapate uteuzi
 
Hivi uyu mama anataka tuaminisha ndo rais wa kwanza nchi hii tangu taifa pata uhuru? , unabadilisha nini sasa , kama ni nafafasi za teuzi ni watu walewale , watoto wa viongozi , hakuna jipya
 
Kauli ya hovyo kutoka kwa Rais ninayempenda. Na anafanya kila mwendawazimu aone kuwa urais ni kazi nyepesi sana kama mchezo wa draft tuu
 
Ajiondoe na yeye mwenyewe,aje Rais mwingine.
 
Usihangaike na watu, boresha taasisi. Acha zifanye kazi. Mla rushwa afungwe, mzembe aachishwe kazi. Nje ya hapo hakuna lolote
 
Ni dhahiri sasa Mama ameonesha kuwa kazi hii imemzidi uwezo! Kama angekuwa na uwezo na dira ya nini anachotaka kufanya angekuwa na watu sahihi hivi sasa, lakini inaonesha bado anabahatisha na hajui anatupeleka wapi!
Tangu lini mtu wa MASIJALA akawa na uwezo wa kifalme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…