Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mama la mamaMama angekua muwazi tu. Asiogope style ya jpm ilikua bora sana. Hao wanaogombana bila kuelewana sio kuhusu weledi na utendaji kazi...
Hii nchi ngumu sana!!yupo wapi waziri Lukuvi?msemo wa mchungaji msigwa kuwa akili ndogo inapoongoza akili kubwa ni vulugu tupu!? Hii panga pangu wala haina tija, na hata ukimchukua MHADZABE huko polini akapewa wizara anaongoza fresh tu!!!Huyo Rizimoko naona anabebwa tu kwasababu ni mtoto wa master wake, kinyume na hapo nae angetakiwa apigwe chini, sioni utendaji wowote toka kwake.
Fukuza huyo korofi.Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki...
Mhadzabe atafaa sana Wizara ile ya Utalii. Kwanza yeye shida yake ni asali na nyama kidogo ya nyani. Hana habari kabisa na meno ya tembo.Hii nchi ngumu sana!!yupo wapi waziri Lukuvi?msemo wa mchungaji msigwa kuwa akili ndogo inapoongoza akili kubwa ni vulugu tupu!? Hii panga pangu wala haina tija, na hata ukimchukua MHADZABE huko polini akapewa wizara anaongoza fresh tu!!!
Makatibu wakuu huwa wanaonesha umuhimu waoMakatibu Wakuu na Mawaziri ni tatizo la miaka nenda rudi
Mwenye matatizo ni mteuaji, anaangalia uswahiba badala ya welediRais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki...
Kwanini aliye sahihi asiachwe na yule mkorofi ang'olewe? Maana hapo Sasa ni kutaka kujitoa lawamani Kwa kuwaondoa wote, sidhani kama ni approach sahihiRais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri...
Wewe ndio una matatizo ndio maana anawang'oa Kwa kuwapiga chini na wanaobahatika hupangiwa sehemu zingineMama saa zingine anajiharibia mwenyewe, kwa hivyo watu walioboronga wanapanguliws tuu kwamba watanzania wengine smart waku cover nafasi wameisha kwenye jamii au??
Upuuzi.
Hakuna namna nzuri ya kuwafanya wasikwaruzane?Makatibu Wakuu na Mawaziri ni tatizo la miaka nenda rudi
Jamani, jamani, hii ni sababu kweli ya kuwa pangua? Hivi wakiachwa wote kwa pamoja taifa linapoteza nini hasa kwa kukosekana kwao?Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki...