Rais Samia: Mabadiliko yametokea kwa sababu ya kutokuelewana

Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki...
KAMA HAWAELEWANI WAPIGE BENCHI BADALA YA KUHANGAIKA NAO
 
Alisha wahi kuchunguza kwa nini hawaelewani? nazani shida ni Masilahi watu wanaingiliana kwenye anga, watu wanaingiliana kwenye Syndicate za kupiga pesa
 
Hakuna namna nzuri ya kuwafanya wasikwaruzane?
Wanatakiwa wapewe terms of reference, majukumu ya ainishwe na mipaka yake, hasa baina ya waziri na naibu wake hapo ndipo penye mchanganyiko. Au post ya naibu iondolewe.

Semina elekezi kwa watendaji ni muhimu sana kwenye kuainisha majukumu (hii pia imekosekana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…