Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

Rais wa ovyo kabisa huyu..
Unambambikia Mbowe kesi halafu anafikishwa Mahakamani ndio anasema wacha sheria ichukue mkondo wake?? Je Mbowe angekamatwa kama sio amri yako wewe??
Ngoja tuzidi kulia na MUNGU aturudishe kati tuanze upya.
 
Tofautisha 'Nadhani'(nina uhakika) na 'sidhani'(sina uhakika).
 
Angekua muislamu usingelisema hivyo ndo maana ulitoa magaidi kwa kuwa ni waislamu wenzio.
Nchi itakushinda hutoboi 2025 kwa staili ya kudanganywa na KMK
 
Tofautisha 'Nadhani'(nina uhakika) na Sidhani(sina uhakika).Jifundisheni Kiswahili,acheni kuvamia lugha msizozijuwa.
 
Kuna wamama wako gerezani( WA matatizo wasilikize)
 
Labda kwa vile yeye yupo huru anaona kila mtu yupo huru
Mshenzi sana huyo..
Yani anambambikia Mbowe mashtaka anapelekwa Mahakamani ndio anasema tuache sheria ichukue mkondo wake..?? Kwani Mbiwe angekamatwa kama sio yeye kutoa amri??
Ee MUNGU fanyia wepesi Nchi ya Tanzania turudishe tena kati tuanze upya kama pale March 17.
 
URL unfurl="true"]https://www.bbc.com/swahili/habari-58149665[/URL]
Majibu yake yamekaa vizuri sana. Amejibu kama Rais huku akichukua tahadhari zote kutokuingilia uhuru wa mahakama. Ulitaka aingie kwa undani ili uje useme ameingilia uhuru wa mahakama?. Viva Rais Samia
 
Hivi kesi ya 'amiri' au 'amurat' jeshi mkuu iliishaje?
Hivi si ni mama huyu huyu aliyetutangazia kuwa kesi zaidi ya 100 zilikuwa za kubambika na aliwaelekeza waziondoe Mahakamani?
Hakuingilia mahakama?
 
Majibu yake yamekaa vizuri sana. Amejibu kama Rais huku akichukua tahadhari zote kutokuingilia uhuru wa mahakama. Ulitaka aingie kwa undani ili uje useme ameingilia uhuru wa mahakama?. Viva Rais Samia
Umeelewa concern yangu au unaropoka tu?
 
Mama
Uhuru wa kutosha uko wapi?

Huu wa kufanya mikutano ya ndani baadae unakamatwa unaambiwa jengo ulilofanyia mikutano ni Pangare sio jengo?

Maliza urithi wako upite hivi..
Mama na ccm wakisoma hii post wataelewa nini hasa watanzania tunamaanisha kwake amalizie urithi wake na apite hivi
 
Hivi kesi ya 'amiri' au 'amurat' jeshi mkuu iliishaje?
Hivi si ni mama huyu huyu aliyetutangazia kuwa kesi zaidi ya 100 zilikuwa za kubambika na aliwaelekeza waziondoe Mahakamani?
Hakuingilia mahakama?

Yalikuwa magumashi, zote zilianza upya...
 
Kwahiyo mlidhani angesema kuwa "Mimi Rais ndiye nimemshika, kwa kuogopa katiba mpya ambayo nahofia itamiondoa madarakani"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…