jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Apige kazi gani..ebu nionyeshe kazi hata tatu tu za msingi alizo piga mpka sasa...kama sio kutembelea reli ya jpm.Kuanzia mskitin,kanisani,kijiweni, bar,masokoni, bodaboda uku kwetu tunamkubali kinomaaaaa.
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka tulikwama tu. Kisa mtu mmoja
Sukuma gang bwana mnatapatapa Sana.Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?
Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida Ni nin jaman?
Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui Ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea Cha maana ,Walidai hivo,
Huku wakisema Wamemis sana Hotuba za Jpm ,
Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokon, manzese, nenda machinjion vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana
Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,
Wanaamini wez wamerudi serikalin,
Wanaamini Jpm alikuwa mtetez wao,
Wanaamini Kuna kund limemuondoa mwendazake
Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,
Utaleta majibu hapa ,
Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?
Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?
Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?
Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,
Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia
Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?
Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,
Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?
Hakubaliki na nani? Anapelekeshwa na nani?Mama samia hakubaliki na ukinyonga wake hana msimamo anapelekeshwa kama kishada
Tutajaza Seva bure..Apige kazi gani..ebu nionyeshe kazi hata tatu tu za msingi alizo piga mpka sasa...kama sio kutembelea reli ya jpm.
#MaendeleoHayanaChama
Samia anafanya vzr Sana kuliko Jiwe,lakn ukweli wananchi hawamkubaliStaff nzima mlijaa mipumbafu.Uwaambie na wenzio.Eti mmemiss hotuba za jiwe?Kajilazeni pembeni ya kaburi lake.Mnamuonea wivu SSH?
Husibishe SSH, anafanya vzr kuzidi Jiwe,lakn katika kukubalika hakubaliki,Hadi mwwnyewe nashangaastaff ya wapi hiyo? Ni bora huyu mama mara mia japo anapuyanga kuliko Jiwe.
Uhuru tu wa kufanya mambo yangu bila hofu ya kutekwa inatosha, mama dhibiti vibaka tu na hawa panya road kura tutakupa
Achana nao hao.Wengi wa wanaoonesha chuki kwa SSH ni masikini.Hawa walikuwa wanafurahia matajiri,wafanyabiashara na watumishi wa umma kuumizwa na kufanyiwa dhulma.Kwa akili zao nyembamba walidhani hayo makundi yakifanyiwa udhalimu ndiyo watalingana nao kuuishi ufukara.Akili za kimasikini kama mpendwa wao jiwe!Tell them to go to hell!Samia anafanya vzr Sana kuliko Jiwe,lakn ukweli wananchi hawamkubali
Yaani wasiomkubali Samia Ni wajinga, wanaomkubali ndo Wana akiri poor youHuenda mzee wako ni mjinga
Kuwa makini na hizo ID zingine unazozijibu, yani zinang'ata kote kote kama konokono.Anapelekeshwa na nani?Na ni kuhusu nini?Maana uswahilini mkikaa mnajitungia maneno tu ili mradi yasindikizie togwa mnazokunywa.
Ukweli SSH hakubalikiNilidhani una hoja ya maana kumbe unaumwa ugonjwa wa sukuma gangiasis
Chuki binafsi zimewazidi hao mbwa wa Sukuma gang..Husibishe SSH, anafanya vzr kuzidi Jiwe,lakn katika kukubalika hakubaliki,Hadi mwwnyewe nashangaa