Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Achana nao hao.Wengi wa wanaoonesha chuki kwa SSH ni masikini.Hawa walikuwa wanafurahia matajiri,wafanyabiashara na watumishi wa umma kuumizwa na kufanyiwa dhulma.Kwa akili zao nyembamba walidhani hayo makundi yakifanyiwa udhalimu ndiyo watalingana nao kuuishi ufukara.Akili za kimasikini kama mpendwa wao jiwe!Tell them to go to hell!
Watu ajira zilikua hazitolewi kabisa, wakitangaza Ni kuziba waliostaafu au kufariki, Graduates peke yao ukiwaambia maneno hayo kuwa Bora JPM wanakunyonga mchna kweupe, Watanzania wengi wanazani Tajiri akifilisika nao wanatajirika
 
yaani nilianza kumchukia siku alipokubali tozo za miamala ya simu. she is not creative enough. amaanini katika misaada ya wazungu na tozo za lazima kwa watanzania.
 
Story za kupika hizi.
Tupe zako sahihi ambazo hujapika 😆😆

Screenshot_20220521-215945.png

Screenshot_20220521-220013.png

Screenshot_20220521-134811.png

Screenshot_20220521-155415.png

Screenshot_20220520-083032.png
 
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?

Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida Ni nin jaman?

Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui Ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea Cha maana ,Walidai hivo,

Huku wakisema Wamemis sana Hotuba za Jpm ,

Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokon, manzese, nenda machinjion vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana

Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,

Wanaamini wez wamerudi serikalin,

Wanaamini Jpm alikuwa mtetez wao,

Wanaamini Kuna kund limemuondoa mwendazake

Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,

Utaleta majibu hapa ,

Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?

Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?

Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?

Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,

Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia

Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?

Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,

Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?
Ni sukuma gang wanamwaribia.
 
nyie ni sukuma gang
 
Mm binafsi sikuhiz zitutiwe kbsa na story na hotuba yake sitaki hata kusikiaa anavyoengea mnk ajui atamke nn aaseme nn lolote yeye atalisema

Rais anatokeza adharani anatangaza kuwa Bei ya mafuta itapanda na vitu vyote pia vipande
 
Wewe na staffs wenzako 15 ndio hamumkubali....watz wenye above 18 wapo zaidi ya 35m+ kwahiyo nyie 16 ni negligible.
 
Hivi kwanini watu wanapoongea ukweli kuhusu kutokubalika SSH wananuna wakati huo ndio ukweli.
 
Kweli hakubariki Cha maana wapinzani wakomaa wa ache mizozo isiyo na tija ndani ya vyama vyao
 
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?

Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida Ni nin jaman?

Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui Ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea Cha maana ,Walidai hivo,

Huku wakisema Wamemis sana Hotuba za Jpm ,

Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokon, manzese, nenda machinjion vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana

Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,

Wanaamini wez wamerudi serikalin,

Wanaamini Jpm alikuwa mtetez wao,

Wanaamini Kuna kund limemuondoa mwendazake

Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,

Utaleta majibu hapa ,

Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?

Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?

Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?

Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,

Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia

Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?

Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,

Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?

Mzee utafurumishiwa matusi na uzi wako huu balaa. Ngojea waje
 
Mapunguani sukuma gang mmeshafeli.
Mama ni kipenzi cha watanzania zaidi ya 70% except sukumas
 
staff ya wapi hiyo? Ni bora huyu mama mara mia japo anapuyanga kuliko Jiwe.

Uhuru tu wa kufanya mambo yangu bila hofu ya kutekwa inatosha, mama dhibiti vibaka tu na hawa panya road kura tutakupa
Syo staff, nadhani anamaanisha wasukuma.
Maana shangilio la mei dei lilikuwa la staff
 
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?

Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida Ni nin jaman?

Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui Ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea Cha maana ,Walidai hivo,

Huku wakisema Wamemis sana Hotuba za Jpm ,

Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokon, manzese, nenda machinjion vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana

Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,

Wanaamini wez wamerudi serikalin,

Wanaamini Jpm alikuwa mtetez wao,

Wanaamini Kuna kund limemuondoa mwendazake

Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,

Utaleta majibu hapa ,

Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?

Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?

Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?

Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,

Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia

Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?

Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,

Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?

If she stands on her own legs nothing goes wrong, but standing on other people's legs takes her to a wrong directions
 
Ingelikua yule jamaa anakubalika, asingelipata ushindi wa kishindo...100%.
Mwacheni mama bhana, mengine hutokea kwa sababu.
 
Kuwa makini na hizo ID zingine unazozijibu, yani zinang'ata kote kote kama konokono.

Zipo kama zaidi ya 100 na ushee, kuna namna humponda Rais kwa uongozi wake mbovu, pia wakati huo huo humsifia Rais kwa ID hizo hizo [emoji23]

Ziko buku mkuu, zinanavigate tu
 
Wew
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?

Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida Ni nin jaman?

Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui Ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea Cha maana ,Walidai hivo,

Huku wakisema Wamemis sana Hotuba za Jpm ,

Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokon, manzese, nenda machinjion vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana

Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,

Wanaamini wez wamerudi serikalin,

Wanaamini Jpm alikuwa mtetez wao,

Wanaamini Kuna kund limemuondoa mwendazake

Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,

Utaleta majibu hapa ,

Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?

Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?

Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?

Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,

Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia

Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?

Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,

Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?
Wewe peke yako ndo unasema hakubaliki. Wengine tunamwona yuko poa sana na atatufikisha mbali. Mimi binafisi biashara zangu ziliyumba wakati wa enzi za giza za jiwe. Sasa zinashamiri. Mama anaupiga mwingi!
 
Back
Top Bottom