Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Mbona hatuvisikii
Utasikia wapi wakati wewe hata unachokifanya humu ni ku google ukopy na ku paste humu kutujazia seva, wewe unafikiri utaweza kujua jinsi raia wanavyoangaika kukwepa kama sio kupunguza ukali wa makato ya miamala? Mambo hayapo kama mwanzo ila wewe huwezi kujua haya we endelea kujaza seva tu humu.
 
Kwa hiyo naishi huko google kwenye space na satellite sio? 😬😬😬
 
Kwa hiyo naishi huko google kwenye space na satellite sio? 😬😬😬
Sasa mtu ambaye unakataa ukweli wa kwamba raia hawamuelewi Samia na kusema hao ni sukuma gang tu ndio unataka niamini wewe upo huku uraiani pamoja nasi au ndio mpo nje ya nchi ndio maana ukigoogle unakuta hayo madudu yako unayopost humu ila uhalisia huku uraiani huwezi kuupata kwenye google ndio maana unachokiongea humu unaonekana hauelewi mtaani pakoje.
 
Wewe ndio humuelewi mbona unawasemea watu,wamekituma? Wanamuelewa nani sasa?
 
Mzee wako ndio mmojawapo wa wazee wengi wanaochangia Tanzania kubaki maskini hadi leo.
Ila ukweli mama hakubaliki, Mie mzee wangu ni ccm kindaki ndaki ila kila nikikaa nae tunaona habari mambo yalivyo hovyo analaumu sana uwezo wa mama

Jana ilikuwa habari ya kusafirisha mifugo kinyemela kwenda kenya akasema 'upuuzi huu usingetokea kipindi cha jpm' pia akanipa habari za mkandarasi kula m600 za ujenzi wa bwawa yote anadai ni udhaifu wa mama
 
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?

Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani?

Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee staff walikuja juu ,redio izimwe ,Hakuna anachoongea cha maana ,Walidai hivo,

Huku wakisema Wamemmiss sana Hotuba za JPM ,

Hii hali niliichukulia kawaida,lkn nenda hata masokoni, mfano Mabibo sokoni, Manzese, nenda machinjion Vingunguti, Mama anazungumzwa vibaya, anaonekana anafeli sana

Wananchi wengi wanaamini maendeleo yanaenda kwa mwendo wa Kobe,

Wanaamini wezi wamerudi serikalini,

Wanaamini Jpm alikuwa mtetezi wao,

Wanaamini Kuna kundi limemuondoa mwendazake

Kiukweli hata wewe ulipo hapo Kama mpo 10, jaribu ufanye utafiti,uone Ni namna gan mama anakubalika ,

Utaleta majibu hapa ,

Ninachojiuliza huyu mama kwann hakubaliki ,je sio presidential material?

Au Hana maono na nchi hii Kama alivyokuwa Jpm?

Ukiangalia jins Jpm alivyotuvusha kwenye Corona , unaona KABISA angekuwa huyu mama tungekuwa wapi?

Kuna mtu huwa ananiambia msimamo wa chanjo kwa watanzania ndio Iman ya Watu kwa Jpm ,

Hadi Sasa propaganda za chanjo zimefeli , huku majority wakiendelea kuamini falsafa za Jpm ,ambazo hata Korea wameanza kuzitumia

Swali kwann huyu mama hata Hotuba zake zinapuuzwa ,?

Kipind Cha JPM watu had kwenye bodaboda wanatega masikio ,waone mwamba ataongelea mradi gan mpya, mwizi gan atatumbuliwa,

Huyu mama Hotuba zake zinapuuzwa ,kwasasa watu wapo tayari kumsikiliza haji manara na sio raisi,tatizo nn?
Kaupata ukuu wa nchi kwa fitina sana
 
Sahau hizo ndoto.

Mama anapigiwa kuwa toka kaskazi, kusini, kati, kusini magharibi, bukoba na mara ispokuwa sukuma gangs tu.
Na kwa kuwa sukuma hawajui siasa hawana hata chama, cheyo hana meno.
Labda Msukuma aanzishe chama ila hawatapata wanachama mikoa mingine kwani kwa tabia za kikabila walizonazo wasukuma na joto lajiwe walilolionja no finito
Wewe umechangia kimihemuko zaidi kuliko uhalisia, hapa hatuzungumzi ukabila hata huko kasikazini ,magharibi na Bukoba ulipopataja bado SHH hatapata kura zote je nako huko kuna wasukuma? Kwamba hakuna msukuma yoyote atakaempigia SHH kura??

Jadili hoja achana na swala ukabila.

Watu mafukara mna shida sana, na kwa akili hizi ninakuona ukiwa masikini kwa miaka mingi huku ukitumika kaa mtaji w CCM.
 
Binafsi nilichokiona watu bado wanaamini katika RAIS MWANAUME. Ila kwenye kufanya kazi vizuri MAMA SAMIA yuko Far better than MAGUFULI. NAMKUBALI KINOMA NOMA JPM ila mama Samia anatumia Busara, Hekima, nidhamu na Utu katika kuongoza. Kama huyu mama angekuwa Rais mara baada ya KIKWETE amini nakwambia hii nchi ingekuwa mbali mno, kwanye Sekta nyingi sana, Ajira, Biashara, Uvuvi, Kilimo nk.

Thank You Hon. Pres. Samia.

Watu wamezoea vitisho.
Ndo ukweli Samia kamuacha Mbali Sana Jiwe
 
Mzee wako ndio mmojawapo wa wazee wengi wanaochangia Tanzania kubaki maskini hadi leo.
Uko sahihi mkuu

Ungeeleza pia mzee wako kasaidia nini Tanzania kuwa tajiri
 
Ndio maana nakwambia huna akili unajidanganya Sana,subiria uchaguzi uone..

Biashara ipi unayoisemea wakati maelfu ya biashara zinafunguliwa? Umesikia biashara zinafungwa msimu huu kama Jiwe?

Kule posta huoni Majumba ya kupangisha yamekuwa occupied?

Shilingi ya Tanzania ndio iko imara dhidi ya dola,Ya Kenya na ya Uganda zimeporomoka..mfano mdogo TSH.ina trade kwenye 19 vs Ksh kutoka 20.1..

Kwenye biashara ndio usiguse,tutajaza Seva bure..Afu usihangaike Sana kama hujui kutafuta habari wewe zunguka tuu mitaani ukiona ujenzi utapata jibu kwamba kumbe Uchumi umefunguka kweli.[emoji116]

View attachment 2233917

View attachment 2233919

View attachment 2233920

View attachment 2233921

View attachment 2233922

View attachment 2233923

View attachment 2233924

View attachment 2233925

View attachment 2233926

View attachment 2233927
Ngombe
 
Wewe ndio humuelewi mbona unawasemea watu,wamekituma? Wanamuelewa nani sasa?
Kwani wewe Samia kakutuma uje kujaza seva humu? Unasema nawasemea wakati wasiomuelewa Samia humu unawaita sukuma gang kwamba wanachuki binafsi. Mada inahusu raia huko kutokumkubali Samia, sasa wewe ulitaka nisiwazungumzie hao raia?
 
Ndio
 
Watu ajira zilikua hazitolewi kabisa, wakitangaza Ni kuziba waliostaafu au kufariki, Graduates peke yao ukiwaambia maneno hayo kuwa Bora JPM wanakunyonga mchna kweupe, Watanzania wengi wanazani Tajiri akifilisika nao wanatajirika
Domo tunapiga Ila SSH Ni far better than jiwe
 
Staff yenu yote ni wajinga , hotuba za mama ziko poa kabisa ni chuki ambazo mnazo tu ambazo hata sababu hakuna zaidi ya wivu
 
Back
Top Bottom