Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Trilion 1.5 wakati wa Magu alisema ilienda wapi?
 
Wewe ndiye huiamini mimi naamini mifumo ndiyo shida kwa nchi yetu sio huyo Samia
 
Ngo'mbe
 
Nani Amshauri[emoji3][emoji3]
 
Kwani huyo mama kafikafikaje hapo kama Magufuli hakumkubali? Watu wa Magufuli itakuwaje wasimkubali mtu aliyekubaliwa na waliyemkubali? Hilo ndilo swali linalotakiwa kujibiwa.
 
[emoji1787][emoji1787] Kapotosheni kwa wake zenu..

Kwa data zenu hizo hizo naomba muangalie difference ya profit ya mwaka 2021 na miaka hiyo ya Jiwe afu ndio mje kuropoka tena
Nakuambia SSH amefanya vzr kumzidi jiwe mie sio mshabiki mandaz, Samia kamzid JPM parefu sana, ninachoshangaa Kitaani kwangu hakubaliki
 
JK 2005, Mkapa 2000
we punda sio mtz ni mrundi wewe! hujui chochote! hakuna Rais aliekubalika, JK tulikuwa tukimnanga kuwa wizi umezidi serikalini kazi yake kusafiri tu nje na kuchekacheka huku madawa ya kulevy yanaua vijana akutuambia mtakoma nawaletea chuma ndo akaja Magu kutunyoosha.
Mkapa hakuna aliemkubali maana alikuja kubana madili na mzunguko wa pesa bongo umaskini ukashamiri nae ni mwizi akauza mashirika kipumbavu na kujiuzia migodi na kujenga hotel South Mandela akakataa kuifungua!!
we ni mpumbavu ficha ujinga wako uwe na lugha ya staha unapojibu comments za wakubwa zako m*bwa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…