Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

Rais Samia: Mikoa ya Kusini utatembelea lini? Kura zao pia utazitaka? Hao wanaoumwa utawatembelea lini au unangojea kupewa taarifa .
 
Mbona hii sijaiona huko lindi

Ova
 
Inashangaza sana inaonesha kiasi gani hamna kitu muleπŸ€”
 
Wako sehemu gani huko kusini maana kusini ni kubwa. Ni wangapi wanatoka damu puani na kudondoka?
 
Watu wa kusini waambiwe ukweli tu kwakweli tuache kuzunguka mbuyu,mambo ya kula panya hapana,wengine wameanza kula hadi mende sasahivi,juzi nimeona kwenye tv kuna nzi wanaliwa
F**ck huu ni ushenzi [emoji35][emoji35]
 
Haya ni matokeo ya wizi wa kura na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia yaliyofanywa na CCM na Serikali yake kwa wapinzani hasa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Daaah hizi hasira balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…