Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh SAMIA SULUHU HASSANI athibitisha kuwepo kwa ugonjwa usiojulikana watu kutokwa damu puani pamoja namafua kisha kupoteza maisha yao hayo ysmesemwa jana katika mkutano wa baraza la maaskofu jijini daresalaamu jana tarehe 12.07.2022.

FB_IMG_1657690958743.jpg
 
Ngoja wataalam waje waseme ni nini maana na mimi nina flue hapa
 
Kusini gani hiyo?Mbona huku hatuwaoni hao wanaotokwa na hizo damu?
 
Kwaiyo unahisi suala watu kutokwa na damu puani na kuanguka, Ni suala Hadi mabingwa wa afya watoe report? Kwamba Rais hawezi kulisema? Na Rais hajasema Ni aina gani ya ugonjwa, ndiomaana kasema Kuna wataalamu wameenda kuchukua sampuli hili wajue Ni aina gani ya ugonjwa,

Wafuasi wa mwendazake mna chuki na Rais
Hivi ni kwanini chuku hizo>
 
Wanawake ni ngumu sana kutunza siri..pm kazunguka huko kusini mpaka kamaliza ziara karudi dsm ndio ka mwambia..yeye kesho yake kaanika hadharani...ingawa pm naye muongo muongo sana.

#MaendeleoHayanaChama
Huyo piii em sio muongo muongo,ni jiongo kubwa.
 
Back
Top Bottom