Joseph Kwanama
New Member
- Jul 12, 2022
- 4
- 6
Nadhani alitakiwa kusubiri kwanza ili awe na taarifa sahihi, tetesi tetesi hizi angetuachia kwanza sisi key board warriors
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa, kazi kweli kweli🤣🤣🤣🤣Halafu watu wa kusini tupo wala hatujui hizo habari. Tunaendelea kuishi tu hakuna hata mmoja tumeshuhudia kaanguka.
Hivi ni kwanini chuku hizo>Kwaiyo unahisi suala watu kutokwa na damu puani na kuanguka, Ni suala Hadi mabingwa wa afya watoe report? Kwamba Rais hawezi kulisema? Na Rais hajasema Ni aina gani ya ugonjwa, ndiomaana kasema Kuna wataalamu wameenda kuchukua sampuli hili wajue Ni aina gani ya ugonjwa,
Wafuasi wa mwendazake mna chuki na Rais
Huyo piii em sio muongo muongo,ni jiongo kubwa.Wanawake ni ngumu sana kutunza siri..pm kazunguka huko kusini mpaka kamaliza ziara karudi dsm ndio ka mwambia..yeye kesho yake kaanika hadharani...ingawa pm naye muongo muongo sana.
#MaendeleoHayanaChama
Hata ukiwa na msongo wa mawazo ukipita Jf unapata burudiko moyoni 😁Ayseee...[emoji15] Kweli JF ni mahali patamu katika kujifunza mengi kupitia Great Thinkers [emoji1]