Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

Sasa kama umeshatoa taarifa as president kuwa ni kutokana na wanyama au wadudu kutoka mbugani, kuna haja gani ya wataalam kupiga kambi au utafiti wkt tayari ni wanyama wameamia nyumbani mwa binadamu.

Ndiyo maana kuna jamaa ameanzisha mada kuwa (kuna watu nyumbani kwake hawaonekani...)
 
Kwa hiyo Rais anajua chanzo chake hadi aseme sababu ni uharibifu wa makazi ya viumbe?

Hii kauli ya Rais ni hatari kwa afya ya Nchi,ni mapema Sana kutangaza hivyo.
 
Ni lazime iwe virusi!?
 
Nashauri tupunguze uchomaji mkaa, tuboreshe huduma za umeme na gas
 
Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.
Wanawake ni ngumu sana kutunza siri..pm kazunguka huko kusini mpaka kamaliza ziara karudi dsm ndio ka mwambia..yeye kesho yake kaanika hadharani...ingawa pm naye muongo muongo sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Halafu watu wa kusini tupo wala hatujui hizo habari. Tunaendelea kuishi tu hakuna hata mmoja tumeshuhudia kaanguka.
Au ndo wanataka kutubwagia kirusi kipya waitangazie dunia kuwa Kuna kirusi kingine kimeibuka Tanzania kinatokana na wanyama .....kama kirusi Cha [emoji205] monkey
 
Watu wanakunywa double kick bila kula vizuri ukijumlisha na jua Kali lazima damu itoke puani. Wapeni watu pesa zao za nssf wawape watu ajira
 
Kituo cha uchunguzi wa magonjwa CDC Centers for Disease Control and Prevention cha Marekani kinasema ugonjwa mpya Kusini mwa Afrika ulianzia Congo DR.


Na watu wengi toka DR Congo hufika Kilwa na Lindi kwa shughuli za kibiashara kama kununua dagaa n.k Na pia watu kutoka Tanzania nao huenda kule DR Congo kwa shughuli mbalimbali za kibiashara, kiuchumi na kijamii.
Maeneo ya dunia ambapo ugonjwa huo umeripotiwa na sasa wataalamu wanafuatilia

Crimean-Congo Hemorrhagic Fever (CCHF) Distribution Map​




Crimean-Congo Hemorrhagic Fever (CCHF)
Section NavigationSigns & Symptoms

The onset of CCHF is sudden, with initial signs and symptoms including headache, high fever, back pain, joint pain, stomach pain, and vomiting. Red eyes, a flushed face, a red throat, and petechiae (red spots) on the palate are common. Symptoms may also include jaundice, and in severe cases, changes in mood and sensory perception.

As the illness progresses, large areas of severe bruising, severe nosebleeds, and uncontrolled bleeding at injection sites can be seen, beginning on about the fourth day of illness and lasting for about two weeks.

In documented outbreaks of CCHF, fatality rates in hospitalized patients have ranged from 9% to as high as 50%

Crimean-Congo hemorrhagic fever (CCHF) virus (family Nairoviridae) was first recognized in the Crimean Peninsula (in the south of present-day Ukraine) in an outbreak among agricultural workers in the 1940s. The same virus was isolated in 1956 from a single patient in present day Democratic Republic of Congo, giving the virus its name. The virus is spread by infected ticks or livestock, and person-to-person transmission can also occur.


READ MORE : CDC Works 24/7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…