MnavyoambiwaTanzania ni nchi maskini unafikiri mnaongopewa?Nashauri tupunguze uchomaji mkaa, tuboreshe huduma za umeme na gas
Tema mate chini, ya Mungu mengi. Ulipaswa kusema huyo ndio raisi wako "Mungu akijaalia" hadi 2030Kashike wewe Basi,kwa taarifa yako huyo ndo rais wako Hadi 2030.
Mbona sisi tuko kusini huku,na hajui Kama Kuna kitu Cha namna hiyo,
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia ameona maradhi mapya yameingia. Watu wanatokwa na damu za pua na wanadondoka chini”
Rais anaongeza "Hatujui ni kitu gani, Wanasayansi wamehamia huko kwa uchunguzi zaidi kwa kuwa ni Watu wengi wanaougua kwa mfululuzo, na yote ni kwa sababu tunaharibu makazi ya viumbe kule walikowekwa na Mungu. Tunawasogeza kwetu wanatuletea maradhi”
Rais Samia amezungumza hayo leo, Julai 12, 2022 katika Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya Afrika Mashariki (AMECEA)
Usimtukane mheshimiwa Rais.Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.
Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.
Yeye anamuamini vipi waziri mkuu ambaye kitaifa haaminiki kutokana na kauli zake kumsaliti?....atumie reference nyingine otherwise hizo ni fix za mheshimiwa PM.
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia ameona maradhi mapya yameingia. Watu wanatokwa na damu za pua na wanadondoka chini”
Rais anaongeza "Hatujui ni kitu gani, Wanasayansi wamehamia huko kwa uchunguzi zaidi kwa kuwa ni Watu wengi wanaougua kwa mfululuzo, na yote ni kwa sababu tunaharibu makazi ya viumbe kule walikowekwa na Mungu. Tunawasogeza kwetu wanatuletea maradhi”
Rais Samia amezungumza hayo leo, Julai 12, 2022 katika Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya Afrika Mashariki (AMECEA)
Mheshimu Rais....yaheshimu mamlaka,other wise you are no more.Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.
Bora azue taharuki kuliko kuficha maradhi. Wapo walio ficha maradhi na mauti ikwaumbuaAngesubiri wataalamu waje waseme ni ugonjwa gani. Hii itazua taharuki hata kwa wageni wanaokuja
Kabisa ! Naunga mkono!Siasa as usual. Ilitakiwa ripoti itoke kwa mabingwa wa afya
Wewe nadhani ni miongoni mwa watu wachache walioelewa hotuba ya Rais.,,,,ametumia Sanaa kuwasilisha ujumbe wake.....Na walengwa watakuwa wameshamuelewa....Hujui ni ugonjwa gani, unasababishwa na nini, how it infect human, umeanzia kusini kwetu au imported; lakini tayari umehitimisha chanzo chake ni kuingilia biodiversity ya wanyama pori huna supporting evidence ya virus kuruka kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.
Ndio kwa sababu kinachotokea ni virus ambao traditionally wanaishi kwa wanyama pori kupata new hosts (binadamu) kwa njia tofauti all of which entails kuingilia mazingira yao.Ni lazime iwe virusi!?
Huyu mama ana laana kabisa siyo bure ...RIP JPM
Nimeshangaa sana, sasa uchunguzi wa njni?Hujui ni ugonjwa gani, unasababishwa na nini, how it infect human, umeanzia kusini kwetu au imported; lakini tayari umehitimisha chanzo chake ni kuingilia biodiversity ya wanyama pori huna supporting evidence ya virus kuruka kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.
Mjambiani mpumbavuu kabisa chifuu mafii ya bataHakika ww ni mwehu
Kuwala haiwezi kuwa njia ya kupata new host..ambayo si lazima wawe virusi!!!?Ndio kwa sababu kinachotokea ni virus ambao traditionally wanaishi kwa wanyama pori kupata new hosts (binadamu) kwa njia tofauti all of which entails kuingilia mazingira yao.
Uchunguzi ufanyike tujue kama unaambukiza au la..
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu...