Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

Kwani mnataka nni? Akiiacha mnasema ana chuki sijui ameshindwa ila akiifanya mnasema anatembelea nyota ya JPM!! mnataka nini? aitelekeze ama?
Rudia kunisoma tena kiongozi wangu punguza jazba.
 
Kwa hiyo sisi tunaosema anaupiga mwingi hakuna wa mfano wake tangu Uhuru unatuambiaje
🤣🤣 Duuh anajitahidi lakini bado hatujaona miradi itakayoacha alama yake kwamba siku akiondoka tutamsema isingekua samia leo tusingekua na labda express highway kutoka Dar - Dodoma - Mwanza njia 8 au daraja la kuunganisha Zsnzibar na Tanga au Dar .miradi ya aina hiyo.
 
Nawatakia heri wafanyakazi wote.

Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.

Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.

Nakutakia utekelezaji mwema.
Nini maana ya mradi wa kimkakati Ili twende sawa isijekuwa hujui unachoongea.

Mwisho Kuna Utitiri wa miradi Kila sekta Sasa kinachoitwa wa kimkakati no nini? 👇

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1785719515814285477?t=0B-LBSUh_0_gajiczkD9ug&s=19
 
Nawatakia heri wafanyakazi wote.

Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.

Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.

Nakutakia utekelezaji mwema.
Bado hajaingia awamu yake lazima amalizie miradi aliyoanza Magu kwa pupa wakati mapato yetu ya ndani hayatoshi.
 
Unamaanisha huyu mama amevaa kiatu kikubwa kuliko mguu wake?
Ndio mkuu.
Kuongoza nchi kama hii na kutaka ufanye mabadiliko kwanza kabisa inahitajika nguvu ya ziada, kama unawaza ukifika Ikulu utakula bata yatakushinda tu.

Nchi inanuka shida kila kona.

Hivi watu wanatembea hata huko Kigoma vijijini kuangalia mTanzania anaishije? Wanaishi katika umasikini wa kutisha.
 
Hatuwezi kujidanganya hatuna matatizo kwa kuyapuuzia kana kwamba hayapo. Samia hawezi kuja n miradi wake mkubwa maana muda haumruhusu. Kwa sasa ni lazima awekeze nguvu nyingi kwenye kuimalizia miradi mizito rufiji hep, mwendo kasi, strengthening air tz nk.. Juu ya yote, hii ni awamu ya legend jiwe. Tuna 10 virgin years under her reign. In this, ninamuunga mkono. Wacha aitekeleze miradi yahayati, miaka 10 ya uongozi wake atakuja n miradi kedekede ya kutekeleza. Time will answer all your questions
 
Hii dhana ya maRais kutarajiwa kuanzisha miradi inanishangaza sana. Ina maana tulishaachana na mipango ya taifa ya maendeleo (ya muda mfupi, wa kati na mrefu)? Na michakato yake ya kitaaluma?

Kwamba sasa ni suala la kisiasa la kila Rais pekee; anapanga na kuamua nini anataka kifanyike? Na mihimili mingine na taasisi za serikali wao kazi yao ni kufanikisha tu anachotaka Rais kama anavyotaka kiwe? Na kila Rais anapoingia madarakani anasubiriwa kutangaza “miradi yake”? Well, it’s a very different world indeed from where I’ve been and am.
 
Nawatakia heri wafanyakazi wote.

Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.

Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.

Nakutakia utekelezaji mwema.
Sijaona hata Barabara moja iliyojengwa sasa ni miaka minne
 
Hatuwezi kujidanganya hatuna matatizo kwa kuyapuuzia kana kwamba hayapo. Samia hawezi kuja n miradi wake mkubwa maana muda haumruhusu. Kwa sasa ni lazima awekeze nguvu nyingi kwenye kuimalizia miradi mizito rufiji hep, mwendo kasi, strengthening air tz nk.. Juu ya yote, hii ni awamu ya legend jiwe. Tuna 10 virgin years under her reign. In this, ninamuunga mkono. Wacha aitekeleze miradi yahayati, miaka 10 ya uongozi wake atakuja n miradi kedekede ya kutekeleza. Time will answer all your questions
Hahaha
 
Kuna mradi unao endelea nchi zima wa kupima kila kipande cha ardhi chini ya ufadhiri wa WB na mradi huu mwananchi hatozwi atasenti na hati juu
 
Kuna mradi wa shule za mama Samia chini ya WB kwa shule za msingi na sekondari

Kuna mradi wa shule za watoto wa kike pekee

Mambo ni mengi
 
Nawatakia heri wafanyakazi wote.

Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.

Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.

Nakutakia utekelezaji mwema.
Sasa wewe ulitaka afanye nini,miradi ambayo magufuli aliiacha ilikuwa ni mikubwa na ilihitaji usimamizi na fedha nyingi ilibidi aitafutie fedha kuikamilisha hilo tu linatosha au ulitaka aiache aanzishe yake kama alivyofanya magu kuachana na miradi ya uhakika ya kikwete kama mradi wa umeme wa gesi na uchimbaji wa gesi kule kusini ambao rais Samia pia kaamua kuutekeleza na mradi wa bandari ya bagamoyo kwa hivyo huyo ndiye Samia kiongozi anayejiamini .
 
Mnakomaa sana kuaminisha umma wa Tanzania kwa takwimu ambazo ni maandishi tu lakini si katika uhalisia.

Haisaidii chochote.
Jibu swali langu,nini maana ya mradi wa kimkakati? Pili sio tuu ni takwimu Bali na macho Yako yanaona au wewe una uhalisia wako tofauti na unachoona?
 
Royal Tour, mapesa ya utalii yamejaa kedekede kila kona.
 
Kama kazi zinaongea mbona bado wanauliza ?
Wana chuki binafsi hususani Hawa wa humu mitandao ila huko Kwa Wana Nchi kazi zinaongea.

Irrigation scheme 220

Ujenzi wa mabwawa ya Umwagiliaji 100
👇
20240502_053708.jpg
 
Kuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.
sasa mulitaka ile aliyoanzisha JPM aiwache halafu muje kulalamika hapa kwenye mitandao? Kwani hiyo ni miradi yake binafsi, na mbona JPM aliendeleza ya Kikwete ya barabara?

Wacheni kumshambulia kwa kila analofanya, hamuna wema nyinyi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom