Ni pamoja na sa100.Kuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pamoja na sa100.Kuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.
Na bado miradi ikikamilika kuna madeni makubwa ya kurejeshwa kutokana na mikopo iliyokamilisha miradi.Sasa wewe ulitaka afanye nini,miradi ambayo magufuli aliiacha ilikuwa ni mikubwa na ilihitaji usimamizi na fedha nyingi ilibidi aitafutie fedha kuikamilisha hilo tu linatosha au ulitaka aiache aanzishe yake kama alivyofanya magu kuachana na miradi ya uhakika ya kikwete kama mradi wa umeme wa gesi na uchimbaji wa gesi kule kusini ambao rais Samia pia kaamua kuutekeleza na mradi wa bandari ya bagamoyo kwa hivyo huyo ndiye Samia kiongozi anayejiamini .
Upo sahihi,ila anaupiga mwingi kwenye yapi?.. Kuleta Chanjo iliyopingwa awamu ya5,kufukuza wamachinga mitaani,kuchoma masoko mbambali nchini,kuruhusu wizi na ufisadi+rushwa,kutumia kodi zetu kwa safari nyingi za nje + msafara mkubwa kusiko na tija,n.k.,..Una maanisha anaupiga mwingi kwenye miradi hii,au ipi?Kwa hiyo sisi tunaosema anaupiga mwingi hakuna wa mfano wake tangu Uhuru unatuambiaje
Duu hapo napitaKuna mradi mkubwa wa kuwahamisha Wamasai ngorongoro na loliondo.
Uko serious kweli
Fikra za kiwango cha chini sana hizi! Uongozi wa nchi ni mfumo endelevu. Hivi ulitaka Mhe. Rais Samia asiendeleze mradi wa JNHHP Rufiji? Ulitaka asiendeleze SGR? Ulitaka aitupe JP Magufuli Kigongo Busi? Ulitaka azitupe barabara za mwendokasi na miradi mingine?
Fikra kama zako ni za Waafrika wengi wakiwemo baadhi ya viongozi. Kwamba mradi huu ni wa Rais aliyepita nikiutekeleza atapata sifa yeye. Uongozi wa nchi hautaki ubinafsi. # Samia Magufuli mia mia. Hakuna mradi utakaokwama. 🙏🙏🙏
Mwenye macho haambiwi tazama.Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Nasubiri rais atayekuja na hii sera huyo atapata kura yangu ..Nashauri mojawapo miradi wa kimkakati uwe ni ujenzi wa nyumba za Watanzania wote,awamu ya kwanza Kwa maeneo ya Mijini na awamu ya pili iwe maeneo ya Vijijini.
Miradi ya kimkakati kama hii itawapunguzia wananchi upotevu wa fedha nyingi wanazotumia kujenga makazi yasiyodumu lakini pia kuondokana na ujenzi holela,migogoro ya ardhi.
Nasubiri rais atayekuja na hii sera huyo atapata kura yangu ..Nashauri mojawapo miradi wa kimkakati uwe ni ujenzi wa nyumba za Watanzania wote,awamu ya kwanza Kwa maeneo ya Mijini na awamu ya pili iwe maeneo ya Vijijini.
Miradi ya kimkakati kama hii itawapunguzia wananchi upotevu wa fedha nyingi wanazotumia kujenga makazi yasiyodumu lakini pia kuondokana na ujenzi holela,migogoro ya ardhi.
Ila we jamaa huwa ni kiazi sana.Nchi haijawahi kosa Mikakati Bora,waache ujinga wa kuandamana na hoja za kipuuzi Waendelee kufanya kazi,umeme ni bwerere hakuna pa Kupeleka.
Kinachoitwa Demokrasia ni ujinga hapa Afrika,wa kufikisha hiyo vision sio Serikali Bali watu kufanya kazi badala ya mdomo mwingi na kuandamana.
Uhalisia upi aliousema? Unaandamanana Kwa Ajili ya nini hasa?Ila we jamaa huwa ni kiazi sana.
Jamaa anakuambia uhalisia umebaki kuleta ngonjera, nchi masikini kama hii inahitaji kasi ya ukuaji wa uchumi kwa haraka.
Well said comradeUko serious kweli
Fikra za kiwango cha chini sana hizi! Uongozi wa nchi ni mfumo endelevu. Hivi ulitaka Mhe. Rais Samia asiendeleze mradi wa JNHHP Rufiji? Ulitaka asiendeleze SGR? Ulitaka aitupe JP Magufuli Kigongo Busi? Ulitaka azitupe barabara za mwendokasi na miradi mingine?
Fikra kama zako ni za Waafrika wengi wakiwemo baadhi ya viongozi. Kwamba mradi huu ni wa Rais aliyepita nikiutekeleza atapata sifa yeye. Uongozi wa nchi hautaki ubinafsi. # Samia Magufuli mia mia. Hakuna mradi utakaokwama. [emoji120][emoji120][emoji120]
Nani kakwambia kuwa serikali ina pesa? Mngejua yanayoendelea huko kwenye serikali mngenyamaza tu kimya!!!Lakini serikali ina pesa na yeye aanzishe miradi mikubwa huoni wananchi wakiona SGR wanamshangilia marehemu magufuli 🤣 mtoa mada ana hoja.
Exactly!!!!Kwa maana hiyo unataka tuamini kuwa kama JPM angekuwepo bado angekuwa anaendelea na miradi hii mpaka leio na kusingekuwepo miradi mingine mipya....!!?
Mbona viongozi wanapishana tu Airport, wabunge wanakesha dodoma kwani yanayoendelea huko serikalini ni yapi?Nani kakwambia kuwa serikali ina pesa? Mngejua yanayoendelea huko kwenye serikali mngenyamaza tu kimya!!!
Hata rais Magufuli alipokea miradi viporo na akanzisha miradi mikubwa mipya. Mpaka sasa Rais samia anaanza mwaka wa 4 huu Ikulu sijaona mradi wowote mkubwa ambao ameuanza.Bangi mbaya Sana, SASA MLITAKA MIRADI MIKUBWA KARIBU 4, AMBAYO IMEACHWA IMEACHWA NA MAREHEMU ITELEKEZWE NA AANZISHE MIPYA?, KUMBUKA RAIS WA SASA NI KIONGOZI MKUU NDANI YA AWAMU YA TANO, MIRADI ILIACHWA KATIKA HALI YA 25%,KUFIKIA KUKAMILIKA HIVYO 75% ZA UKAMILISHAJI WAKE NI LAZIMA UTEKELEZWE NA UKAMILIKE, NDIPO SASA TUANZE MIRADI MIPYA YA KIMKAKATI.
Ha ha haaaaKuna mradi mkubwa wa kuwahamisha Wamasai ngorongoro na loliondo.
Marehemu Rais magufuli alianzisha Ujenzi wa miradi hii mikubwa akiwa ana miaka mitatu ya uongozi wake huku akitekeleza miradi viporo ya watangulizi wake. Mpaka sasa Rais samia yupo kimya tunaona anazunguka tu huko duniani anasema anaenda kututafutia hela sijui huko nje kuna watu wanatoa hela.Amekushambulia kihalali sababu swali lako halina msingi.
Ni miaka mitatu tu yupo madarakani akimalizia awamu ya hayati boss wake ( Magufuli). Kitendo cha kukamilisha tu hii miradi atakuwa ameacha alama, hana haja hata ya kuanzisha mingine.