Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
- Thread starter
-
- #21
Rudia kunisoma tena kiongozi wangu punguza jazba.Kwani mnataka nni? Akiiacha mnasema ana chuki sijui ameshindwa ila akiifanya mnasema anatembelea nyota ya JPM!! mnataka nini? aitelekeze ama?
🤣🤣 Duuh anajitahidi lakini bado hatujaona miradi itakayoacha alama yake kwamba siku akiondoka tutamsema isingekua samia leo tusingekua na labda express highway kutoka Dar - Dodoma - Mwanza njia 8 au daraja la kuunganisha Zsnzibar na Tanga au Dar .miradi ya aina hiyo.Kwa hiyo sisi tunaosema anaupiga mwingi hakuna wa mfano wake tangu Uhuru unatuambiaje
Nini maana ya mradi wa kimkakati Ili twende sawa isijekuwa hujui unachoongea.Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Bado hajaingia awamu yake lazima amalizie miradi aliyoanza Magu kwa pupa wakati mapato yetu ya ndani hayatoshi.Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Ndio mkuu.Unamaanisha huyu mama amevaa kiatu kikubwa kuliko mguu wake?
Mnakomaa sana kuaminisha umma wa Tanzania kwa takwimu ambazo ni maandishi tu lakini si katika uhalisia.Nini maana ya mradi wa kimkakati Ili twende sawa isijekuwa hujui unachoongea.
Mwisho Kuna Utitiri wa miradi Kila sekta Sasa kinachoitwa wa kimkakati no nini? 👇
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1785719515814285477?t=0B-LBSUh_0_gajiczkD9ug&s=19
Sijaona hata Barabara moja iliyojengwa sasa ni miaka minneNawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
HahahaHatuwezi kujidanganya hatuna matatizo kwa kuyapuuzia kana kwamba hayapo. Samia hawezi kuja n miradi wake mkubwa maana muda haumruhusu. Kwa sasa ni lazima awekeze nguvu nyingi kwenye kuimalizia miradi mizito rufiji hep, mwendo kasi, strengthening air tz nk.. Juu ya yote, hii ni awamu ya legend jiwe. Tuna 10 virgin years under her reign. In this, ninamuunga mkono. Wacha aitekeleze miradi yahayati, miaka 10 ya uongozi wake atakuja n miradi kedekede ya kutekeleza. Time will answer all your questions
Sasa wewe ulitaka afanye nini,miradi ambayo magufuli aliiacha ilikuwa ni mikubwa na ilihitaji usimamizi na fedha nyingi ilibidi aitafutie fedha kuikamilisha hilo tu linatosha au ulitaka aiache aanzishe yake kama alivyofanya magu kuachana na miradi ya uhakika ya kikwete kama mradi wa umeme wa gesi na uchimbaji wa gesi kule kusini ambao rais Samia pia kaamua kuutekeleza na mradi wa bandari ya bagamoyo kwa hivyo huyo ndiye Samia kiongozi anayejiamini .Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Jibu swali langu,nini maana ya mradi wa kimkakati? Pili sio tuu ni takwimu Bali na macho Yako yanaona au wewe una uhalisia wako tofauti na unachoona?Mnakomaa sana kuaminisha umma wa Tanzania kwa takwimu ambazo ni maandishi tu lakini si katika uhalisia.
Haisaidii chochote.
Wakumbushe ujenzi wa barabara kwa EPC+Financing 🤣🤣Nini maana ya mradi wa kimkakati Ili twende sawa isijekuwa hujui unachoongea.
Mwisho Kuna Utitiri wa miradi Kila sekta Sasa kinachoitwa wa kimkakati no nini? 👇
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1785719515814285477?t=0B-LBSUh_0_gajiczkD9ug&s=19
Sihitaji kuwakumbusha,kazi zinaongeaWakumbushe ujenzi wa barabara kwa EPC+Financing 🤣🤣
Kama kazi zinaongea mbona bado wanauliza ?Sihitaji kuwakumbusha,kazi zinaongea
Wana chuki binafsi hususani Hawa wa humu mitandao ila huko Kwa Wana Nchi kazi zinaongea.Kama kazi zinaongea mbona bado wanauliza ?
sasa mulitaka ile aliyoanzisha JPM aiwache halafu muje kulalamika hapa kwenye mitandao? Kwani hiyo ni miradi yake binafsi, na mbona JPM aliendeleza ya Kikwete ya barabara?Kuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.