Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

maso pa kyindi tumvumilie tu Polepole kwa kuwa anatumia uhuru wa maoni ulioruhusiwa na Rais SSH mwenyewe alipopokea madaraka ya kuongoza Nchi baada ya yule Dikteta kufariki na kuzikwa Chato.

Watanzania hatukuzoea kunyimwa haki ya kujieleza kama alivyoiminya Mwendazake Magufuli
 
Sas
TCRA sasa watakata ulimi . Kwani hatimii tena system ambayo inatawaliwa na TCRA
 
Angemtoa tuu maana falsafa zao haziendani...ni bora Polepole ajiengue mwenyewe au Mama amle kichwa na hii itakuwa sio ajabu hata Shibuda alishawahi kuoneshwa mlango wa kutokea.
 
Kweli mkuu, lakini angesema mtu yeyote si huyu mnafiki wa ma VIEITE.
Alipokuwa na tonge mdomoni watu waliteswa, waliuwawa, walipokwa mali zao, na wengi walibambikwa kesi za uhujumu.
Yeye akawa ankeenua tu kumsifu mwendazake.
Hakunyanyua domo lake chafu, akawa anasifia uroda wa ma VIETE.
Sasa mdomo huo huo hauwezi kumtetea mwananchi.
Ni mnafiki huyu jamaa, angesema mtu mwingine tungesema , ooh okay!
Huyu NO!
 
Lwa akili yako Samia anawezakumteua Polepole kuwa mbunge! Samia kazi yake kuteua vichwa panzi tu! Ndo maana hata Lukuvi na kabudi kawatoa uwaziri na kuwateua kuwa washauri wa mawaziri!
 
Polepole wivu unamsumbua mbona yeye wakati wa Jiwe alikuwa akijipimia urefu wa kamba yake hasa kwenye deal la ununuzi wa wapinzani!
 

Huyu jamaa ajue tu kuwa muda wake umepita, na hana chake tena.
The only asset aliyokuwa nayo ni mdomo wake, na aliutumia vibaya, na anaendelea kutoushirikisha ubongo wake hata sasa.
 
Kwani pole pole ana uongozi upi serikalini?
Au umesha kunywa taptap zako ukazani alipata uwazili?
Ndugai alimhoji na kumtoa kwenye kamati kama mwenyekiti kisha akajikuta yeye nae ana ambiwa ajiuzuru na kisha kufanya hivyo
Sasa kama wangekuwa pamoja angemuhoji kwa lipi na kumtoa kwenye kamati?
Kama raisi ameona kuna watu wanavimbiwa na anakaa kimya bila kuwatumbua na wao nao hawaoni aibu ya kuvimbiwa kwa nini wasiambiwe ili wajirekebishe.
 
Mleta mada akili huna wewe ndo unapindisha ukweli na maana ,amini usiamini rais atakukana hii statement yako.
 
Kwani Mama alipowaambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao alimaanisha nini
 
Mkuu usiongee uharo na kupitiliza!!
Polepole alikuwa zaidi ya waziri, ila ushamba hakumwacha salama, akaishia kusifia ma Vieite!
 
Inaonyesha ni jinsi gani uelewa wako ulivyo mdogo. Kwanza mama Samia siye aliyemteua Ubunge Polepole. Polepole aliteuliwa na Magufuli.

Kuhusu hilo la "kula kwa urefu wa kamba yako ...." hata kama wanaCCM mtakuwa mmeielewa tofauti hilo halibadili maana halisi ya alichokisema. Uzuri alitoa pia mifano ya malipo kwenye meli na ujenzi wa barabara unavyokuwa compromised .....!!

Kumuondoa Polepole ni sawa kwa kuwa ni KIROBOTO ndani ya CCM na ana uchungu ila anachokisema ni kweli .... Maza kachemka na kaonyesha msimamo wake wazi kuhusu anavyoamini kuhusu RUSWA.
 

Nadhani wewe ndiye unayemwekea Mama maneno mdomoni. Nukuru maneno yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…