NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hata mimi nimemtilia mashaka.Upo sawa ki akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimemtilia mashaka.Upo sawa ki akili?
Jisaliti.....🤣Linatumiwa na rob amster pia 😂😂
Genge la "vicoba"....Badilisheni ya saccos yenu inayomfanya faru John kuwa mwenyekiti wa milele na hakuna nyumbu wa kumpinga.
Mh.Rais yuko SAHIHI....Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Yule PSYCHOPATH atatukana tu mitandaoni.Walimuachia yule chizi akaja na siasa zake za kipuuzi uje hata Kufa Kipuuzi ni Ujinga wala sio Ushujaa...
Jamaa anapoteza tu muda wake....Lisu mwezi mchanga umeingia kaanza kuwa mwehu tena.
Barakala la mabeberu....Tundu Lissu hana uzalendo hata nukta na nchi yetu. Tundu ana tamaa sana na uongozi hawezi, hafai kabisa kuwa kiongozi na hana hekima wala busara hata kidogo.
"MAZINGIRA" ya utawala wa mh.SSH umeshajiisha KESI ZA WATU ZIENDESHWE haraka na kutolewa uamuzi....Huyu mama anajifanya eti anataka kuliponya taifa. Aliyelihalibu ni nani kama siyo yeye na Magufuli?? Mnafiki sana huyu mama
PSYCHOPATH haachi yake....Ameanza tena
Anakaribisha wamjaribu (call her bluff)?Nilikua nakukumbusha tu maana inawezekana ukawa umesahau kwamba Kwa hapa nyumbani ukiamua kwenda na Rais ujue unakwenda kukutana na mtu wa aina gani.
Hata kama hataki kuyatumia vibaya ila madaraka yenyewe yatajilindia kwa kupitia njia zote hizo nilizozitaja.
Hivyo mkubwa Leo aliposema hivyo tambua tu kasema katika capacity ipi.
Hamuishiwi VITUKO NA UZUSHI....Anakaribisha wamjaribu (call her bluff)?
Itapendeza? (sikupata neno zuri) kuona dikteta mwananmke. Hivi duniani kote uliwahi kusikia kiongozi mwanamke dikteta?..
Akianza kuua raia wake kwa kudai katiba mpya, sijui huo uchumi ataujenga vipi!Kwani hao waliofeli walikuwa hawataki kuweka uchumi sawa? Mna miaka 60 madarakani mmeshindwa kuweka uchumi sawa, saa ndio mtaweka sawa sasa? Ni hivi, katiba mpya ni lazima fullstop.
Kwa hiyo hayo ndiyo yalikuwa malipo ya kutodai katiba mpya?Hamuishiwi VITUKO NA UZUSHI....
Yaani mh.SSH ambaye mazingira ya utawala wake umemfanya mh.Mbowe ashinde kesi yake na kurudishiwa zile milioni 300 zao ?!!
MDUDE NYAGALI yuko kwao anakula maparachichi tu....
MASHEIKH wa UAMSHO wako kule Stone Town wakijipigia UROJO NA MASHOKSHOK......
HARBINDER SINGH SETH yuko nyumbani anatandika tu biriani baada ya PLEA BARGAIN....
Mnyika na wenzake walimuita mh.JMK kuwa na DIKTETA....mpaka akasema "yaani mimi ni diketa ,mbona sijatumia hata robo ya presidential decree"?!!
Cha ajabu mwishoni ,Mnyika akageuza kibao na kumuita mh.JMK kuwa ni RAIS LEGELEGE....
Ninyi tumeshawazoea na UKIGEUGEU WA MANENO ,KEDI ,UZUSHI NA SIASA ZA "TARNISHING OF IMAGES"......
#KaziIendelee
#Mh.SSHNiMzalendoWaMfano