Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Barabarani mbona nipo daily boss. Mumlete na Mangula akae mbele ili aikatae vizuri hiyo katiba mpya. Au nyinyi mtakuwa kwenye keyboard mkiwatazama vyombo vya dola vikiwatetea nyie mmbaki na katiba outdated?
Ndio raha ya kumiliki vyombo,na ndio Kazi ya vyombo kuwashughulikia waleta chokochoko
 
Screenshot_20210707-231921.png

Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.

Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Hii issue kwa jinsi alivyoanza nayo tayari inaonekana hataweza.

Ni bora akutane na Wapinzani awape time line ya jinsi gani atatoa katiba mpya. Wote tunajua anavuta muda kwa ajili ya second term.
 
MaCCM mnamuogopa sana Lissu
Katiba mpya ni lazima, mtake msitake.
 
Wapinzani wa bongo ukishaanza tu kuwachekea sana wanakuona mjinga..
Ndiyo maana Magu alikuwa anawanyoosha...
Mimi wa wapinzani wamenichosha wa nchi hii bana kikwete was fair wakawa Wana mshambulia daily matokeo yake tukaletewa magufuli aliyekuwa haambiliki wakanyooshwa mpaka daily ilikuwa jela Sasa mama kaanza vizuri msikivu wao Wana mshambulia bila aibu, mbona wakati wa Magu alikuwa ana vunja Hadi katiba wakaufyata, naona wanataka kumwaribia mama vile wanajua ni mama wanafikiri ni dhaifu, kiukweli Mimi staki wamu force mama atumie power yake kikatiba watalia machozi hawa. Mimi wamenitoka kweli
 
Walifeli kwenye uchumi ndio sababu ya kutolewa,mama anaweka Uchumi sawia anawanyoosha chadomo kwenye siasa uchwara

Kwani hao waliofeli walikuwa hawataki kuweka uchumi sawa? Mna miaka 60 madarakani mmeshindwa kuweka uchumi sawa, saa ndio mtaweka sawa sasa? Ni hivi, katiba mpya ni lazima fullstop.
 
Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.

Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara....
Asante mama Samia. Message sent and delivered kwa faru John & Co. Kazi iendelee mbele.
 
Mimi wa wapinzani wamenichosha wa nchi hii bana kikwete was fair wakawa Wana mshambulia daily matokeo yake tukaletewa magufuli aliyekuwa haambiliki wakanyooshwa mpaka daily ilikuwa jela Sasa mama kaanza vizuri msikivu wao Wana mshambulia bila aibu, mbona wakati wa Magu alikuwa ana vunja Hadi katiba wakaufyata, naona wanataka kumwaribia mama vile wanajua ni mama wanafikiri ni dhaifu, kiukweli Mimi staki wamu force mama atumie power yake kikatiba watalia machozi hawa. Mimi wamenitoka kweli
Tuliletewa Maghufuli kwasababu Kikwete alishambuliwa “daily”? Tuliletewa na nani? Unaongea kama vile ni chakula tuliagiza, ama labda bidhaa flani!

Hakuna aliyeufyata kama unavyosema, nashangazwa sana na fikra zako.

Alikosolewa hadi akaitwa Dikteta uchwara. Wengi walipotea, kubambikiwa kesi, kutekwa, na majaribio ya kuuwawa kama ambavyo wengine walivyouwawa. Na wengine wao walikimbia nchi. Tayari tulishaanza kuonekana Taifa la ajabu na hata kuanza kususiwa! Taifa halikuwa sawa. Na nina Uhakika kwamba rais Samia analifahamu hilo fika. Hivyo hawezi kuitumia katiba hii mbovu kama alivyofanya mwendazake.
 
Back
Top Bottom