Huu ni utoto, ukikua utaachaUnauliza majibu, usawa gani ,, mnavyo vuruga chaguzi na mbeleko ya majeshi,
Katiba mpya ni lazima
mnamponza huyo mama yenu, urais atauona mchungu. Tutamchakaza kama tulivyochakaza yule Mwendawazimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni utoto, ukikua utaachaUnauliza majibu, usawa gani ,, mnavyo vuruga chaguzi na mbeleko ya majeshi,
Katiba mpya ni lazima
mnamponza huyo mama yenu, urais atauona mchungu. Tutamchakaza kama tulivyochakaza yule Mwendawazimu.
Mlimchakazaje?Unauliza majibu, usawa gani ,, mnavyo vuruga chaguzi na mbeleko ya majeshi,
Katiba mpya ni lazima
mnamponza huyo mama yenu, urais atauona mchungu. Tutamchakaza kama tulivyochakaza yule Mwendawazimu.
Sasa Mkuu Kama mikutano ya kisiasa ipo kisheria si uitishe huo mkutano wako unasubiri mpaka rais akuruhusu ?. Kama wakikukamata si unasema ipo kisheria utawashinda huko mahakamani.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Rais ni Samia sawa, na mikutano ya kisiasa ipo kisheria, sasa mnatetemeshwa na nini? tatizo la ushindi wa kura za kwenye mabegi meusi ndio maana hamjiamini.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Ingia barabarani tuone
Kudai haki yako ya msingi sio ukaidi. Huu “ukondoo” uliovikwa koti la “amani na utulivu” hautufikishi popoteKwani mkaidi anafanywaje sikuzote 😅??? Anakatiwa keki na kupigiwa makofi?
Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??
Hakuna njia nzuri za kudai haki zao pasi na kuporomosha matusi?
Muacheni mama achape kazi,msitake kumpelekesha,,ana ratiba zake na vipaumbele..
Mbona mnataka kumpelekesha wakati alishasema mumpe muda!
Sent using Jamii Forums mobile app
unasemaje...! Mandamano ya Ukuta hamkutishika?? maandamano ya Mangi kimambi hamkutishika pia?Tulitishwa na jiwe hatukutishika yeye asigeuze umaskini wa wananchi kuwatisha wasidai haki yao.
Inawezekana Rais akawa anajibishana na 'Mdude' wa CHADEMA?..hoja ya katiba mpya imewekwa mezani na response ya Rais SSH ndiyo hiyo.
..nadhani amegundua hoja ya jinsia haina mashiko kwake.
..madai kwamba wapinzani wanataka kuvuruga amani ni ya muda mrefu, lakini facts on the ground zinaonyesha kwamba wapinzani wa Tz ni wapole sio wafanya vurugu.
..Ngoja tuone atafika wapi na haya madai yake ambayo si ya kweli.
Yale matusi ya Mdude huwa hauyaoni?Hebu acha kunitilia kinywani maneno utakayo wewe!!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Hivi lini ulimsikia Kiongozi yoyote wa Chadema kamtusi samia? Alimtusi tusi lipi?
Huyo samia alipotumua neno KUDEMKA alikuwa anatumia lugha ya kistaarabu?
KUDAI KATIBA MPYA so kuleta chokochoko samia aache kutokuwa mkweli. Ameanza kufuata nyayo za dhalimu mwendazake.
Halafu...; ndipo waruhusiwe "kuleta chokochoko"?Raia wanasubiri uchumi uimarike.
That was expected.Halafu...; ndipo waruhusiwe "kuleta chokochoko"?
Rais kaanza ku'panic', na mtu mwenye mabunduki anapo'panic' matokeo yake siyo mazuri.
All i need is my peace! Kapambaneni tu wazee maana najua what will happen sasa kwanini nijiingize matatizoniKudai haki yako ya msingi sio ukaidi. Huu “ukondoo” uliovikwa koti la “amani na utulivu” hautufikishi popote
Lakini asisahau, yeye siyo Magufuli, na hawezi kamwe kuiga aliyoweza kuyafanya Magufuli kwa kutumia hiyo 'power'(vibaya).That was expected.
Ukiwa na power you become jealous of it.
And you will use every means to protect it.
Hahahah mie pia nataka hao wapuuzi waingie road ili nione showTia ndani tuu hao akina Mbowe na wale wa Ubelgiji wakapumzike..wameambiwa watulie uchumi upae wanapiga kelele eti maandamano .
Binafsi nilikuwa against na mwendazake kwenye ishu ya economy management,hayo ya siasa watajuana huko .
Maza ananifurahisha kwenye sera za Uchumi na kutekeleza mambo kwa speed
Sawa kazaneni 😅😅😅Huku kwenye keyboard ndiko tulikomchakaza Mwendawazimu mpaka akazima mitandao.. katiba mpya ni lazima.
Umama wake awafanyie wanawe wa teuzi.
sisi tutamchakaza Samia mpaka
achakae.
tunanaka usawa nchi yetu sote hii.
Katiba mpya ni lazima…
Ukishakuwa Rais , unakua mtu mwingine kabisa mkuu,Lakini asisahau, yeye siyo Magufuli, na hawezi kamwe kuiga aliyoweza kuyafanya Magufuli kwa kutumia hiyo 'power'(vibaya).
Matokeo yake kwake yanaweza kuwa ni tofauti kabisa na aliyopata Magufuli.
Mtu kama hawajui anaweza dhani ni kweli.Sawa kazaneni [emoji28][emoji28][emoji28]