Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ukijichanganya tunakulipuaNi nyie ndio chanzo cha hizo taharuki msizozitaka, fuateni sheria tuepuke kuonekana tunatafutana bila sababu.
Heshimu mamlaka uheshimiwe kama Raia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijichanganya tunakulipuaNi nyie ndio chanzo cha hizo taharuki msizozitaka, fuateni sheria tuepuke kuonekana tunatafutana bila sababu.
Babako ibilisi alisema anakiua kabla ya 2020. Nani amekufa kati yake na Chadema!!??
Yaani mimi kudai katiba mpya ambayo itamzuia Samia kutamba waziwazi mbele ya Watanzania bila aibu wala haya usoni kuwa hata kama CCM itashindwa uchaguzi itaunda serikali kwa kuiba kura ni chokochoko na kuvunja amani?Huyu Mama amechanganyikiwa?!Walikuwa wanatka wafurahishwe tu
Tumekubaliana kua KATIBA MPYA imekaa kisiasa zaidi.Inakuwaje achanganye ya "Katiba Mpya", na huko "Kujiandaa kujitibia"?
Ina maana yeye Rais sasa, anakwenda kuwatia uoga wananchi wasidai katiba mpya (kufanya chokochoko) kwa vile hawajajiandaa watakavyotibu (majeraha)? watakayopata wakati wakidai haki hiyo?
Mbona haileti mantiki?
Lugha zile zile za miaka nenda rudi , hivi katiba mpya inaleta machafuko ?
Chdema Ni mbowe na mbowe Ni chadema hlf wanadai demokrasia mpaka mwekiti wao anasema anafikiria kuachia 2023 yaan anafanya kwa matakwa yake duh
2025 hamuendi tena na mama??
Si mlikuwa mnamsifu sana alipoingia madarakani!
Muacheni mama achape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama hao sio wa kucheka nao wapige pin kama kama walivyopigwa pin na JPM
Si unaona umewapa Uhuru kidogo
Wengine wanakuambia Watakunyoa kama walivyomnyoa JPM
Wangine wanaandaa maandamo nchi nzima kudai katiba mpya
Wengune wapo kwa babeberu wao huko wansema watakuja kufanya mikutano utake au usitake
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi imenenenwa ni lazima kuingia barabarani ili kuleta katiba mpya?Ingia barabarani Sasa uitafte na mmwambie Yule aliyesema hata peke yake ataileta
Samia tutamchakaza mpaka achakae kama tulivyomfanya Mwendawazimu.Atakwambia anafanya ujinga kisheria 😅🤣😂😂 ni haki yake kufanya vurugu kisheria akili za Bavicha hizo
Mambo dear, mam alikuwa fair kwao wakaanza kumchezea chezea wakifikiria mama ni mwepesi acha wanyooshwe tu bana2025 hamuendi tena na mama??
Si mlikuwa mnamsifu sana alipoingia madarakani!
Muacheni mama achape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini mimi niliwahi kuwa CCM?!Umechanganyikiwa?Mimi tokea day one nilisema kuwa huyu Mama ana laana za Magufuli na atakuwa hovyo kuliko Magufuli na sasa hivi ameanza kuthibitisha kauli yangu.
Watu kupractise haki zao kwa mujibu wa katiba ni kuvunja amani?!
How possible on earth tunapata viongozi hovyo na inept namna hii?Huyu Mama ana elimu gani kwanza?Kwa sababu anaongea kama mtoto wa chekechea ambae kichwani ni debe tupu.
Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??Wapi nilipoandika mimi naenda na Samia? [emoji15][emoji15][emoji15]
Huwezi kufanya kazi katika mazingira ya udikteta na dhuluma.
Kutoa haki na uhuru kwa kufuata vipengele vya katiba HAKUMZUII kufanya kazi zake. Asitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu ili kuminya HAKI na UHURU wa Watanzania pamoja na vyama vya siasa kama ulivyo ndani ya Katiba.
Mtamchakaza kwenye keyboard katiba hakuna andamaneniSamia tutamchakaza mpaka achakae kama tulivyomfanya Mwendawazimu.
katiba mpya ni lazima atake asitake.
Asitutishe kabisa.
Ngoja tuwaone!Mtamchakaza kwenye keyboard katiba hakuna andamaneni
Magufuli alivyokuwa anatukana watu kuwa wabaki na mavi yao nyumbani au Kheri James alivyokuwa anawaporomoshea matusi Watanzania ulikemea haya?Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??
Hakuna njia nzuri za kudai haki zao pasi na kuporomosha matusi?
Vipaumbele vyake ni vya chama chake pamoja na ilani ya chama chake,vinatuhusu nini sisi wananchi?Muacheni mama achape kazi,msitake kumpelekesha,,ana ratiba zake na vipaumbele..
Mbona mnataka kumpelekesha wakati alishasema mumpe muda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyie mlisema mtatumia wembe wa kunyolea Sasa wembe na katiba mpya mbona vitu viwili tofauti?Inakuwaje achanganye ya "Katiba Mpya", na huko "Kujiandaa kujitibia"?
Ina maana yeye Rais sasa, anakwenda kuwatia uoga wananchi wasidai katiba mpya (kufanya chokochoko) kwa vile hawajajiandaa watakavyotibu (majeraha)? watakayopata wakati wakidai haki hiyo?
Mbona haileti mantiki?