Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Salam zimfikie Mdude Nyagali sifa za kijinga zitamtokea puani. Ataenda jela peke yake sisi tutamuweka hashtag tu huku tunalala na familia zetu wakati yeye analala chini ya ulinzi.
Taifa la watu mil 60 mnatikiswa na Mdude Nyagali

Rais is playing to our fears.

Siasa na chokochoko ziko toka 1929 ilipoanzishwa TAA, mbona tuko vizuri ?

Acheni kutisha watu!

Tunataka Katiba mpya!
 
Mambo dear, mam alikuwa fair kwao wakaanza kumchezea chezea wakifikiria mama ni mwepesi acha wanyooshwe tu bana
Wapinzani wa bongo ukishaanza tu kuwachekea sana wanakuona mjinga..
Ndiyo maana Magu alikuwa anawanyoosha.

Mdude ametoka juzi jela,badala atulie,,yeye ameanza kutukana huko mtandaoni..na chadema wanamsapoti tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alivyokuwa anatukana watu kuwa wabaki na mavi yao nyumbani au Kheri James alivyokuwa anawaporomoshea matusi Watanzania ulikemea haya?
View attachment 1845149
View attachment 1845150

Vipaumbele vyake ni vya chama chake pamoja na ilani ya chama chake,vinatuhusu nini sisi wananchi?

Sisi wananchi tunataka katiba ambayo itamzuia Samia kutamba mbele za Watanzania bila haya usoni kuwa CCM isiposhinda itaiba kura na kuunda Serikali kwa mabavu.

Tunataka katiba ambayo itamwajibisha Samia pale atakapoikanyaga waziwazi katiba anayotumia kuapa kama anavyofanya hapa.

Samia kwa maneno yake mwenyewe amethibitisha kuwa ni dikteta na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
View attachment 1845154
Yaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi..

Kama mnadhani matusi yatawapa katiba mpya basi endeleeni kutukana.

Halafu kama nyie mashujaa jitoeni kimasomaso ingieni mtaani,,siyo mnaongea tu huku kwenye keyboard na I'd feki mmejificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtamchakaza kwenye keyboard katiba hakuna andamaneni
Huku kwenye keyboard ndiko tulikomchakaza Mwendawazimu mpaka akazima mitandao.. katiba mpya ni lazima.
Umama wake awafanyie wanawe wa teuzi.
sisi tutamchakaza Samia mpaka
achakae.
tunanaka usawa nchi yetu sote hii.
Katiba mpya ni lazima…
 
Unategemea uachwe kwenye hilo??

Vipi mwenzetu, yaani ufanye ya kijinga uachwe tu?

Kudai katiba mpya ni kutaka kuharibu amani ya nchi? Ni hivi, hiyo mama urais wake ni wa urithi, hivyo sitegemei aamue lolote tofauti na genge la yule kiongozi muovu kwani ndio linalomzunguka. Hivyo wanaodai katiba mpya wasiaachie, washikilie hapo hapo maana ni madai halali.
 
Bavicha ndio wanaotaka kuleta vita, lala nao mbele hao hawana maana
IMG_20210704_051559_619.jpg
 
Yaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi..

Kama mnadhani matusi yatawapa katiba mpya basi endeleeni kutukana.

Halafu kama nyie mashujaa jitoeni kimasomaso ingieni mtaani,,siyo mnaongea tu huku kwenye keyboard na I'd feki mmejificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiandae kuzima mitandao tutamfanya kitu mbaya sana , mpaka ajute kuwa Rais wa nchi hii. Umama wake afanye na nyie MATAGA wake.
Sisi tunataka usawa utaoletwa na katiba mpya.
 
Kudai katiba mpya ni kutaka kuharibu amani ya nchi? Ni hivi, hiyo mama urais wake ni wa urithi, hivyo sitegemei aamue lolote tofauti na genge la yule kiongozi muovu kwani ndio linalomzunguka. Hivyo wanaodai katiba mpya wasiaachie, washikilie hapo hapo maana ni madai halali.
Inategemea unaidai vipi!
 
Wapigwe chuma tuu hao,saizi ni uchumi kwanza

Kama ni kupiga chuma mbona mtapiga wengi sana, lakini katiba mpya ni lazima maana ni madai halali na hayatakoma. Mfano mrahisi yule kiongozi muovu aliye motoni aliagiza Lisu wauwawe, mbona bado Lisu yuko hai anadai hiyo katiba mpya?
 
Chokochoko ziwe za kisheria au za kihuni zote zinaleta taharuki na kama mnavyojua huyu mnyama “taharuki” ambavyo hakubaliki na serikali ya JMTz!
Tia ndani tuu hao akina Mbowe na wale wa Ubelgiji wakapumzike..wameambiwa watulie uchumi upae wanapiga kelele eti maandamano .

Binafsi nilikuwa against na mwendazake kwenye ishu ya economy management,hayo ya siasa watajuana huko .

Maza ananifurahisha kwenye sera za Uchumi na kutekeleza mambo kwa speed
 
Inategemea unaidai vipi!
Since 1992 inadaiwa, ni ustaarabu gani haujatumika, mbona haijapatikana? Kimsingi inadaiwa kistaarabu, ila genge lisiloitaka kwa uchu wao wa madaraka ndio wanataka kuchafua hali ya hewa.
 
Kama ni kupiga chuma mbona mtapiga wengi sana, lakini katiba mpya ni lazima maana ni madai halali na hayatakoma. Mfano mrahisi yule kiongozi muovu aliye motoni aliagiza Lisu wauwawe, mbona bado Lisu yuko hai anadai hiyo katiba mpya?
Sawa tunakusubiria front sio kwenye mitandao kama hivi,eti wengi na ww utakuwemo au wewe ni motivational speaker? 😆😆
 
Kama ni kupiga chuma mbona mtapiga wengi sana, lakini katiba mpya ni lazima maana ni madai halali na hayatakoma. Mfano mrahisi yule kiongozi muovu aliye motoni aliagiza Lisu wauwawe, mbona bado Lisu yuko hai anadai hiyo katiba mpya?
Kipindi cha ukuta, kiongozi sikukuona barabarani aisee, kwa sasa kunatofauti gani na kipindi hiko aisee
 
Usawa gani umeukosa wewe??
Alishasema wanaoanzisha chokochoko watawaponza.
Sisi tunaenda na mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza majibu, usawa gani ,, mnavyo vuruga chaguzi na mbeleko ya majeshi,
Katiba mpya ni lazima
mnamponza huyo mama yenu, urais atauona mchungu. Tutamchakaza kama tulivyochakaza yule Mwendawazimu.
 
Mama tumekupata na kukuelewa eti umeweka kiboga kwenye chama tuondolee kocho huyoooo.....kuhusu katiba naunga mkono hoja tusubiri hadi 2025....najua mama anafungua nchi kwa sasa
 
Back
Top Bottom