Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Heheheheh tunawajua wazee wa moto wa kuni kiboko yake mvua tu 😅😅😅 lazma wafuke moshi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheheh tunawajua wazee wa moto wa kuni kiboko yake mvua tu 😅😅😅 lazma wafuke moshi tu
[emoji38]Heheheheh tunawajua wazee wa moto wa kuni kiboko yake mvua tu [emoji28][emoji28][emoji28] lazma wafuke moshi tu
Hili ninalielewa vyema kabisa, na siyo hoja yangu ninayoiwasilisha hapa.Ukishakuwa Rais , unakua mtu mwingine kabisa mkuu,
Mamlaka yake ni makubwa.
Kwa hapa nyumbani Rais ni;
1. Kiongozi wa Serikali.
2. Mkuu wa Nchi.
3. Mwenyekiti wa Chama.
4. Amiri Jeshi Mkuu.
Sasa unaweza ona ni mamlaka kiasi gani anakuwa nayo huyu mtu.
Hata akiwa Hana mikono au miguu,
Anabakia na hayo mamlaka hapo juu.
Ndio maana Nyerere akasema kuwa Rais ni mamlaka makubwa sana.
Humu utaskia lazma tukiwashe na tarehe wanaandaa ikifika hio tarehe kimyaa😅😅😅
Huwezi kula urojo n pweza ukawa na akili,macho kumchuzi ni mweupe sana kichwani nae ni mropokaji tuRais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara.
Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa ziara ya siku mbili.
NB: Possibly Rais anawaasa wanaotaka katiba mpya.
===
Rais Samia: Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”
Rais Samia: “Pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani na Watoto wako na Mama Watoto na msijue chakula mnatoa wapi, msijue Mtoto akiumwa mtakwenda kumtibu na pesa gani, niwaombe sana tulinde amani yetu, Nchi yetu itulie tuendelee na maendeleo yetu
Huoni mantiki eeeeee???Inakuwaje achanganye ya "Katiba Mpya", na huko "Kujiandaa kujitibia"?
Ina maana yeye Rais sasa, anakwenda kuwatia uoga wananchi wasidai katiba mpya (kufanya chokochoko) kwa vile hawajajiandaa watakavyotibu (majeraha)? watakayopata wakati wakidai haki hiyo?
Mbona haileti mantiki?
Sawa tunakusubiria front sio kwenye mitandao kama hivi,eti wengi na ww utakuwemo au wewe ni motivational speaker? 😆😆
Sawa tunakusubiria front sio kwenye mitandao kama hivi,eti wengi na ww utakuwemo au wewe ni motivational speaker? 😆😆
Haya ndio mambo ya kuidai serikali maana yananufaisha watanzania wote! Mambo ya katiba mpya ni kwa faida ya wanasiasaMama tuletee bima ya afya ili na sisi tukileta chokochoko tujue wapi pakujitibia[emoji1787][emoji2223][emoji205]
Hapa ndipo atakapokuja kupotezea lengo...and that is what i was thinking too.
..sielewi kwanini Rais SSH anadai wapinzani wanataka kuhatarisha amani.
..Tz tuna wapinzani ambao kila mtu anajua ni WAOGA, sasa kwanini Rais atoe kauli ile?
..huenda Rais SSH anatafuta sababu ya kutumia rungu la DOLA na akianza kulitumia hakuna atakayebaki salama.
..mtakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwa akiwatesa hata wana-CCM wenzake.
Jidanganye Kapteni Komba alishaimba CCM ni ileile.Cha moto utakipata. Shughulika na kina Halima Mdee & Co achana na rais.Siku anaaapishwa ulifurahia ukidhani atacheka na maujinga yenu.Kazi iendeleee bwasheeeeAnacheza ngoma yao yeye mwenyewe
Ananza kulia lia kama jiwe wametumwa na mabeberu.
Hii mechi kwanza ndio dakika ya 15 bado sana
Ameanza kucheza ngoma ya Chadema mapema sana
Ataenda mezani tu sizani kama itamchukua miaka 2 bila kwenda mezani.
Kiti cha moto hicho akae kwa kutulia.
Ni vigumu sana kwangu kujibishana na wewe, kwa sababu huna tofauti na wale waliokuwa wakimpigania Magufuli humu JF. Sasa umeingia wewe na huyo mtu wako, kwa hiyo nakuachia uwanja.Huoni mantiki eeeeee???
Nyinyi kazi yenu kuwaponza wenzenu tu. Yakishawakuta mnabaki kupiga kelele tu mitandaoni hata mahakamani hamtokei kudaadeki.
Hakuna mwenye tatizo na msimamo wake, na sisi msimamo wetu tutaendelea kuidai kila siku, maana katiba sio yake bali ni ya wananchi. Hatutakaa kimya mpaka siku yeye na chama Chake watake.Kiustarabu hapo sawa, ila msimamo wa mh, ulishatangazwa
Matusi gani kusema utanyolewa kwa wembe ule ule ni matusi?Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??
Hakuna njia nzuri za kudai haki zao pasi na kuporomosha matusi?
Muacheni mama achape kazi,msitake kumpelekesha,,ana ratiba zake na vipaumbele..
Mbona mnataka kumpelekesha wakati alishasema mumpe muda!
Labda washinde ndondo cup lakini siyo uchaguzi.Yaani nchi iachwe kwa kina mkuduHivi ni lini CDM mtaacha ujinga? Wakati CCm wanazunguka tz nzima kuongea na wananchi nyie mmejifungia Ufipa kuongea ujinga, and mnaamini mtashinda uchaguzi 2025!
Wewe kakojolewe na mmeo muda huu unafanya nini humuYaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi.
Kama mnadhani matusi yatawapa katiba mpya basi endeleeni kutukana...
Yaani nyie ngamia nyie.HiiiiiiiiiiiSijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano
Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Nilikua nakukumbusha tu maana inawezekana ukawa umesahau kwamba Kwa hapa nyumbani ukiamua kwenda na Rais ujue unakwenda kukutana na mtu wa aina gani.Hili ninalielewa vyema kabisa, na siyo hoja yangu ninayoiwasilisha hapa.
Yeye akijaribu kuyatumia madaraka makubwa hayo, haina gurantee kwamba atapata matokeo sawa na yale aliyoyapata mtangulizi wake...
Jaribu uoneVitendo vinavyofanywa na vyama halali vya Upinzani haviwezi kuitwa chokochoko.
Haviwezi kuitwa vitendo vya kichoko.