Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Elbashir na Mugabe nao walikuwa wanamiliki hivyo vyombo, tupe mrejesho wao.
Yeah wananchi wao waliwachoka pia, lakini kibongo bongo wananchi hawajachoka bado, Ni kikundi tu kidogo Cha watu wachache ndo mnajifanya wanaharakati.

Tafuteni kwanza backup ya watanzania wote mtashinda hiyo movement yenu
 
Bwana wewe, Magufuli aliwanyoosha Hadi mkakosa nguvu na kila kitu Sasa hivi acheni kujimwambafai
 
hata kama hakuna passport lakini katiba mpya ni jambo lisilokwepeka
Linakwepeka! Mpaka sasa tangu 77 tumelikwepa. Linakwepeka na maadamu linatoka kwenye kinywa cha wasiopendwa (wapinzani) na wananchi, msukumo ni mdogo, soon nao wataliacha wadandie jambo lingine! Hii ni kutokana na tulivyo wazoea.
 
Sasa kama huamini kwamba watoto wetu wanasoma bure sina namna nyengine ya kukuaminisha. Labda mwenzangu upo Ubelgiji, rudi nyumbani mkuu kumenoga.

Kuhusu kuhamia Chadema mkuu hilo halitowezekana. Nijiunge na watu wasioitakia mema Tanzania??
 
Well said mkuu
 
Akiendelea kuzuia watu ku-exercise haki zao za kikatiba hakika atakufa mdomo wazi kama kaka yake.Mark these words.
 
Akiendelea kuzuia watu ku-exercise haki zao za kikatiba hakika atakufa mdomo wazi kama kaka yake.Mark these words.
akifa yy atakuja mwingine nyie mlikosea sana kumdhihaki Rais Magufuli aliyekuwa na nia njema na hili Taifa true colors ya CHADEMA ilishajionyesha hamsameheki
 
Samia atageuka Magu sasa hivi.
 
Mama kapanic sana ndo maana kaanza kuongea mipasho majukwaani.Inaonyesha ana roho ndogo sana sasa kwa hali hii ninapata mashaka uko tuendako.ila mimi bado ninaamini muda utatupa majibu sahii.Ngoja tuone.
 
KWANINI MNAKIMBILIA AMANI NA MAENDELEO KAMA KINGA YENU KUBAKI MADARAKANI HIVI NINAN AMBAE ANAWEZA KULETA VITA KAMA CYO CCM WENYEWE? WATU WAKIANDAMANA POLICE KAZ YAKE NI KUWALINDA NANI ATAKETA FUJO KAMA MAANDAMANO YAKIFANYWA CHINI YA ULINZI WA POLICE ? SEMEN TU UKWELI KUWA KATIBA MPYA NI MWIBA KWA WATAWALA JE CKU UPINZANI IKISHUKA DOLA KWA KATIBA MBOVU HII NA WAKAAMUA KULIPIZA VISASI WATU HAWATAUMIA? NDOMANA TUNATAKA KATIBA MPYA ILI WATU WOTE WAWE CHINI YA SHERIA KAMA HUTAFAID WW BASI VIZAZ VYETU WATU WANAIBA CAG ANATOA REPORT LKN HAKUNA HATUA YOYOTE SABABU YA KATIBA MBOVU NCHI ITAONGOZWA KWA UTASHI WA VIONGOZ MPAKA LIN YAAN NACHOKA
 
Mama kapanic sana ndo maana kaanza kuongea mipasho majukwaani.Inaonyesha ana roho ndogo sana sasa kwa hali hii ninapata mashaka uko tuendako.ila mimi bado ninaamini muda utatupa majibu sahii.Ngoja tuone.
Mleta ushoga Lisu akae hukohuko
 
Yaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi..
Yaliyomo kwenye ilani yanahusu wananchi kivipi wakati Samia alikiri kuwa waliiba kura na kuunda serikali kwa nguvu?Unawazungumzia wananchi gani hao ambao waliichagua CCM?
Kama mnadhani matusi yatawapa katiba mpya basi endeleeni kutukana.
Kwani yale matusi ya Magufuli pamoja na Kheri James hayakuwa yanaleta maendeleo?
Halafu kama nyie mashujaa jitoeni kimasomaso ingieni mtaani,,siyo mnaongea tu huku kwenye keyboard na I'd feki mmejificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu suala la kuandamana ni haki ya kikatiba duniani kote hata Baba wa Taifa enzi za ukoloni aliandamana kupinga ukoloni.

Samia anaikanyaga kanyaga katiba kwa kunyima watu haki yao ya msingi ya kikatiba ya kuandamana kwa sababu hana kibali cha wananchi na aliiba kura kama alivyokiri yeye mwenyewe.

Samia kuingia madarakani kwa kuiba kura na sasa kukataza watu wasiandamane wala kufanya mikutano ya siasa ambazo ni haki zao za kikatiba anathibitisha yeye mwenyewe kuwa ni dikteta na hatufai kuwa Rais.

Samia anathibitisha kuwa hitaji la katiba mpya ni sasa kwani tunahitaji katiba ambayo itaweza kumwajibisha Rais kama yeye pale anapoikanyaga kanyaga katiba ambayo ameapa kuilinda kama anavyofanya sasa hivi kwa kuzuia maandamano pamoja na mikutano ya kisiasa ambazo ni haki za msingi za kikatiba za watu na wizi wa kura ambao umempa madaraka kinyume na katiba.

Samia akiendelea kunyima watu haki zao za msingi za kikatiba atakufa mdomo wazi kama alivyokufa kaka yake.Mark these words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…