rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Yeah wananchi wao waliwachoka pia, lakini kibongo bongo wananchi hawajachoka bado, Ni kikundi tu kidogo Cha watu wachache ndo mnajifanya wanaharakati.Elbashir na Mugabe nao walikuwa wanamiliki hivyo vyombo, tupe mrejesho wao.
Tafuteni kwanza backup ya watanzania wote mtashinda hiyo movement yenu