Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.

Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara.

Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa ziara ya siku mbili.

NB: Possibly Rais anawaasa wanaotaka katiba mpya.

===

Rais Samia: Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”

Rais Samia:
“Pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani na Watoto wako na Mama Watoto na msijue chakula mnatoa wapi, msijue Mtoto akiumwa mtakwenda kumtibu na pesa gani, niwaombe sana tulinde amani yetu, Nchi yetu itulie tuendelee na maendeleo yetu

Duuuuuh, katiba mpya kinyume chake kimekuwa ni chokochoko
 
Madaraka yameshakua Matamu, hakuna cha katiba mpya wala tume huru ya Uchaguzi,.

Kama washauri ndo akina Mpango na Mwigulu hakuna jipya ni JPM style

Hata huyu nae tepigwa ni swala la mda tu wasiojulikana wataingia ulingoni wapinzani wakae mguu sawa
 
Mama kwa hili la kukwepa Katiba mpya amepotoka,natumai atarudi kwenye mstari.Akumbuke yeye ni tunda la mchakato Katiba mpya Kama mwenyekiti Msaidizi Mbunge maalumu.
 
Mbowe ataenda Dubai kutibiwa, wewe utaenda wapi? Ingia barabarani uone , si wabishi nyie?

Kudai katiba mpya sio jinai, hayo ni madai halali. Huko kuumuzana kinatoka wapi? Na hata kama ni kuumizwa kwa ajili ya kudai katiba mpya, mbona uchaguzi uliopita bado watu wameuwawa kwenye uchaguzi, na kuachwa na vilema vya maisha kwa katiba hii hii?
 
Kama una ushahidi wa kura zilizoibiwa kapeleke mahakamani.
Hakuna ushahidi mkubwa kuliko wa makamu wa Rais kusema kuwa hata kama wananchi wakipiga kura kwingine CCM itaunda serikali.Huu ni ushahidi beyond reasonable doubt kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Hapo chini wameandika"kupiga kura chama kingine ni sawa na kuweka sukari ziwa Victoria"
Umeelewa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajaribu kubadili upupu kuwa sukari lakini Makamu wa Rais ameshatangazia uma kuwa hata kama Watanzania watapigia kura upinzani CCM itaunda serikali.

Hii maana yake Makamu wa Rais alikuwa anawatangazia watanzania na dunia kwa ujumla yafuatayo:

1.Kuwa chaguzi za Tanzania siyo huru na haki.

2.Kuwa Serikali ya CCM ipo juu ya tume ya uchaguzi ya Taifa.

3.Kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa haipo huru.

4.Kuwa hata kama upinzani utashinda basi CCM itaunda serikali kibabe kwa sababu ina dola.

5.Kuwa Tanzania siyo nchi ya kidemokrasia.

6.Kuwa CCM ni wezi wa kura.

7.Kuwa CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa njia ya kura.

8.Kuwa zile fikra za upinzani kuwa huwa wanaibiwa kura na CCM ni sahihi.

9.Kuwa CCM ndiyo vinara wa kuvuruga amani ya nchi hii kwa kuvuruga chaguzi.

10.Kuwa CCM siyo chama cha siasa bali ni genge la wahuni na vibaka ambalo kazi yao kubwa ni kuvuruga chaguzi,demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

11.Kuwa serikali ya awamu ya tano na ya sita haina kibali cha wananchi.

12.Kuwa ilani ya CCM siyo ilani ya walio wengi bali ni ilani ya genge la wahuni wachache wenye maslahi yao binafsi.

13.Kuwa siku amani ya nchi hii ikivurugika wa kulaumiwa ni CCM.

14.Kuwa Tanzania haiwezi kuwa na maendeleo ambayo ni sustainable kwa sababu viongozi wake huwa hawatokani na wananchi.

15.Kuwa yeyote ambae ni mwanachama wa CCM ikiwa ni pamoja na wewe mnashiriki katika kuhujumu demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

16.kuwa Tanzania haiheshimu haki za binadamu.

17.Kuwa yeye Samia ni dikteta na kibaka wa wizi wa kura na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Huku kwenye keyboard ndiko tulikomchakaza Mwendawazimu mpaka akazima mitandao.. katiba mpya ni lazima.
Umama wake awafanyie wanawe wa teuzi.
sisi tutamchakaza Samia mpaka
achakae.
tunanaka usawa nchi yetu sote hii.
Katiba mpya ni lazima…
Basi Kama MAMA hataki basi CDM tuleteeni katiba mpya hakuna haja kulazimisha ashiriki Kama CDM wanaweza kuleta hyo katiba mpya
 
Bavicha bana nawashangaa sana Mbowe, alivyopiga mkwala wake wa kitoto kwa rais, mlishangilia sana Rais, kajibu kidogo mnalilia mnataka huruma jiandaeni na mapambano Mbowe si kasema mtakutana barabarani.
 
Hakuna ushahidi mkubwa kuliko wa makamu wa Rais kusema kuwa hata kama wananchi wakipiga kura kwingine CCM itaunda serikali.Huu ni ushahidi beyond reasonable doubt kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki.

Unajaribu kubadili upupu kuwa sukari lakini Makamu wa Rais ameshatangazia uma kuwa hata kama Watanzania watapigia kura upinzani CCM itaunda serikali.

Hii maana yake Makumu wa Rais alikuwa anawatangazia watanzania na dunia kwa ujumla yafuatayo:

1.Kuwa chaguzi za Tanzania siyo huru na haki.

2.Kuwa Serikali ya CCM ipo juu ya tume ya uchaguzi ya Taifa.

3.Kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa haipo huru.

4.Kuwa hata kama upinzani utashinda basi CCM itaunda serikali kibabe kwa sababu ina dola.

5.Kuwa Tanzania siyo nchi ya kidemokrasia.

6.Kuwa CCM ni wezi wa kura.

7.Kuwa CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa njia ya kura.

8.Kuwa zile fikra za upinzani kuwa huwa wanaibiwa kura na CCM ni sahihi.

9.Kuwa CCM ndiyo vinara wa kuvuruga amani ya nchi hii kwa kuvuruga chaguzi.

10.Kuwa CCM siyo chama cha siasa bali ni genge la wahuni na vibaka ambalo kazi yao kubwa ni kuvuruga chaguzi,demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

11.Kuwa serikali ya awamu ya tano na ya sita haina kibali cha wananchi.

12.Kuwa ilani ya CCM siyo ilani ya walio wengi.

13.Kuwa siku amani ya nchi hii ikivurugika wa kulaumiwa ni CCM.

14.Kuwa Tanzania haiwezi kuwa na maendeleo ambayo ni sustainable kwa sababu viongozi wake huwa hawatokani na wananchi.

15.Kuwa yeyote ambae ni mwanachama wa CCM ikiwa ni pamoja na wewe mnashiriki katika kuhujumu demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

16.kuwa Tanzania haiheshimu haki za binadamu.

17.Kuwa yeye Samia ni dikteta na kibaka wa wizi wa kura na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
[emoji38][emoji38]
Muache mama achape kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kubembelezana...kifo Cha JPM kimewafanya baadhi wadhani lipo ombwe...wanakaribishwa
Nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria, Kaendeshe familia yako kwa kumbembeleza mumeo akupe uchi au lah, Acheni upumbavu na ujuaji usiokuwa na maana
 
Hakuna ushahidi mkubwa kuliko wa makamu wa Rais kusema kuwa hata kama wananchi wakipiga kura kwingine CCM itaunda serikali.Huu ni ushahidi beyond reasonable doubt kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki.

Unajaribu kubadili upupu kuwa sukari lakini Makamu wa Rais ameshatangazia uma kuwa hata kama Watanzania watapigia kura upinzani CCM itaunda serikali.

Hii maana yake Makamu wa Rais alikuwa anawatangazia watanzania na dunia kwa ujumla yafuatayo:

1.Kuwa chaguzi za Tanzania siyo huru na haki.

2.Kuwa Serikali ya CCM ipo juu ya tume ya uchaguzi ya Taifa.

3.Kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa haipo huru.

4.Kuwa hata kama upinzani utashinda basi CCM itaunda serikali kibabe kwa sababu ina dola.

5.Kuwa Tanzania siyo nchi ya kidemokrasia.

6.Kuwa CCM ni wezi wa kura.

7.Kuwa CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa njia ya kura.

8.Kuwa zile fikra za upinzani kuwa huwa wanaibiwa kura na CCM ni sahihi.

9.Kuwa CCM ndiyo vinara wa kuvuruga amani ya nchi hii kwa kuvuruga chaguzi.

10.Kuwa CCM siyo chama cha siasa bali ni genge la wahuni na vibaka ambalo kazi yao kubwa ni kuvuruga chaguzi,demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

11.Kuwa serikali ya awamu ya tano na ya sita haina kibali cha wananchi.

12.Kuwa ilani ya CCM siyo ilani ya walio wengi.

13.Kuwa siku amani ya nchi hii ikivurugika wa kulaumiwa ni CCM.

14.Kuwa Tanzania haiwezi kuwa na maendeleo ambayo ni sustainable kwa sababu viongozi wake huwa hawatokani na wananchi.

15.Kuwa yeyote ambae ni mwanachama wa CCM ikiwa ni pamoja na wewe mnashiriki katika kuhujumu demokrasia pamoja na amani ya nchi hii.

16.kuwa Tanzania haiheshimu haki za binadamu.

17.Kuwa yeye Samia ni dikteta na kibaka wa wizi wa kura na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kwa hayo makitu, Achana nayo yakajadiliane huko mmu namna ya kuliwa kimasihara
 
Imekula kwenu nyambaf nyie.

Tulishawaambia humu na tunaendelea kuwaambia, rais hana muda mchafu. Ana majukumu ya kuyatekeleza. Akutane na wapinzani ili iweje?
Kama ni hivyo basi aache kulalamika kwa Wananchi..... Etu, ooh chokochoko.
 
Back
Top Bottom