Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Yule aliepanga kumnyoa mama na wembe ajiandae yeye sasa kunyolewa na chupa. Najua mwenyekiti wake aliemtuma muda huo atakuwa Dubai au South Africa kwa kisingizio cha kuchek afya yake.
Hivi kwanini mnaona fahari kutumia majeshi yetu kwa manufaa yenu peke yenu?
 
Kudai katiba ni kuvunja sheria au kutekeleza sheria?
 
Na wanapoanzisha chokochoko kikinuka wao watakimbilia Dubai na Ubeligiji
Kinanuka vipi wakati watawala na watawaliwa wanafuata sheria kuandika katiba yao?
Basi watawala wanahila ndo mana watatumia silaha kukataa hoja za kisheria.
 
Rais umenena kweli hakuna nchi inaendelea katikati ya vita au vurugu lolote. Kimsingi dola ipo ili kudhibiti hali hiyo. Miaka 60 ya uwepo wa Tanzania tumeishi kwa amani kwa umakini wa Viongozi wetu na raia wake. Bravo Madame.
Dola haipo ili kudhulumu haki za kikatiba bali kuzilinda. Itakuwa umelewa utwawala.
 
Tutafuatilia mapema kabisa, tangu muunda wazo tu la kuvuruga hii amani, tutakula naye sahani moja, mbona ni jambo dooogo kabisa!! hatutaki ujinga sisi

Demokrasia ni starehe ya Ulaya na American huko
Mvuruga amani ni yule anae tumia jeshi letu isivyo halali.
 
Hii nchi Ni yetu soote na soote tinafurahika na amani kuliko hata katiba maana Kama rais hatuwez kuwa wote Marais au nafas mbalimbali za kiungozi lkn ndo chadema wanazitaka mpaka kuleta wahuni kina mdude watukane na matus ndo yalimgharimu hlf analeta kujua hapa
Katiba ni kwamanufaa ya watu wrote sio waliopo madarakani peke yenu
 
Mtawatisha sana na hata kuwaua ili mneemeke madarakani ila hamuoni mwisho utakuwaje. Mungu anewaonyesha lakini hamuoni.
 
Eeh mkuu kikinuka hata zile akili za ushabiki mandazi wa Mbowe na Lissu zitakuwa hakuna[emoji28][emoji28][emoji28] itakuwa ni uwiii kila upande! Likisikika Tutu linarindima watu ni kujibanza hata uvunguni [emoji28][emoji28][emoji28] kwa jirani yako bila hodi!
Unajivunia kukinukisha kwavile unanguvu za jeshi letu tunalolilipa kwa jasho na damu yetu wenyewe.
Ebu tumia nguvu zako tukuone.
 
Tuliza kipele basi! Raisi ni Samia Hassan Suluhu na ndio mwenye dola kwa sasa sio Mbowe wala Lissu! Subirien mda wa kampeni ukifika anzeni kampeni ila kwa sasa tulizeni mishono!
Katiba sio uchaguzi.
Mnabweka kwasababu ya jeshi. Mnakaa nyuma ya jeshi.
Ebu njoni kavukavu muone nguvu ya umma
 
Mungu wetu, ametusaidia. Hashindwi kutusaidia tena, maana mmejisahau mnaanza kujenga kiburi kilekile. Mungu ni yileyule mjue.
 
Unajivunia kukinukisha kwavile unanguvu za jeshi letu tunalolilipa kwa jasho na damu yetu wenyewe.
Ebu tumia nguvu zako tukuone.
Sasa mie nipigane na wapuuzi that is too low for me! Kama polisi wapo watafanya kazi yao
 
Mungu wetu, ametusaidia. Hashindwi kutusaidia tena, maana mmejisahau mnaanza kujenga kiburi kilekile. Mungu ni yileyule mjue.
Mungu wenu au wasaliti wa ndani ya system ndio walifanya yao😅
 
Katiba sio uchaguzi.
Mnabweka kwasababu ya jeshi. Mnakaa nyuma ya jeshi.
Ebu njoni kavukavu muone nguvu ya umma
Kama sio uchaguzi maandamano na kampeni za kisiasa mnazotaka kufanya vinahusikaje
 
Hivi kwanini mnaona fahari kutumia majeshi yetu kwa manufaa yenu peke yenu?
Unaweza kuomba katiba kwa njia nyingine ya amani na ukaeleweka, na pengine kufanyiwa kazi maombi yako kutokana na uombaji wako, lkn sio kumtisha mwenye mamlaka ya kutumia hilo jeshi unalosema hapa eti utamnyoa na wembe uliomnyolea mtangulizi wake wakati unajua fika kwamba ww hauna uwezo huo eidha wa kutumia jeshi au njia nyingine yoyote kumfikia yule unaempiga mkwala wa kumnyoa kwa wembe. Sasa alieambiwa atanyolewa na wembe leo kujibu mnaanza kulalamika kwamba wanatumia jeshi kwa manufaa yao ila ulishindwa kumuonya kwanza yule alienza kusema kwamba atamnyoa mwenye mamlaka ya jeshi kwa wembe huku akijua hana uwezo wa kutumia namna yoyote ile kumnyoa anaesema atamnyoa. Kuwa mkweli kwa kujaribu kulinganisha ni nani alieanza kumtisha mwenzie kati ya yule anaetaka kumnyoa mwenye mamlaka na yule mwenye mamlaka alieambiwa atanyolewa?
 
Hizo sheria mnazozizungumzia kuna utaratibu wake. Kafa mwamba tu mshaanza matusi tena nyau nyinyi wakati mlikuwa nyote mmeufyata.

Ukitaka kufanya mikusanyiko unatakiwa uwe na vibali vya wana usalama. Ukitaka kufanya maandamano unatakiwa uwe na vibali. Huna kibali tulia nyumbani tusitafutane lawama.
Soma katiba uelewe. Huhitaji kupata kibali kufanya maandamano au mikutano, bali unatakiwa kulitaarifu jeshi la polisi angalao masaa 48 kabla, ili kupata ulinzi. Haya mambo ya vibali ndiyo udikteta wenyewe, wananchi wanatakiwa kuupinga.
 
Soma katiba uelewe. Huhitaji kupata kibali kufanya maandamano au mikutano, bali unatakiwa kulitaarifu jeshi la polisi angalao masaa 48 kabla, ili kupata ulinzi. Haya mambo ya vibali ndiyo udikteta wenyewe, wananchi wanatakiwa kuupinga.
Sasa kama huhitaji ni nini kinawakwamisha jamani??

Sheria IPO wazi kwa mujibu wa katiba hamuifuati, katiba hii hii ya sasa je hiyo katiba mpya mtaifuata kweli??
 
Back
Top Bottom