Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Nilisha apa kuilinda nchi yangu mkuu, yeyote mwenye ujingaujinga ni kula ki......!
Hakika ULINZI NA USALAMA WA AMANI YA NCHI YETU NI JUKUMU LETU! Nyie chokochoko mtatuwia radhi binafsi sikubali kuichezea amani tuliyojaaliwa kuwa nayo.Il
 
ndugu hakuna nchi inaweza kuongozwa kama unavyofikiri wewe never yaani kila mtu aongee la kwake raisalifuate? hakuna nchi ulimwenguni inayoweza kutawalika kwa mawazo kama unayoyafikiria rais kama rais mwacheni afanye au aongoze anavyoona inafaa lakini mtampima mwisho wa utawala wake hakuna rais anaweza kuwa madarakanai akaanza kuuwawatu bila sababu hakuna rais kichaa wa hivyo wewe unafikiri ni rahisi kweli rais awe anafuata mawazo ya kina lissu kina lemma kweli nchi itaenda siyo rahisi kama mnavyofikilia
 
milioni 60 gani unayoongelea mkuu!? watu huku mtaani hawana habari na hiko unachosema, hawajali kabisa kuhusu katiba mpya. Hii mijadala ya mtandaoni kule haipo.
 
Kudai katiba mpya sio jinai, hayo ni madai halali. Huko kuumuzana kinatoka wapi? Na hata kama ni kuumizwa kwa ajili ya kudai katiba mpya, mbona uchaguzi uliopita bado watu wameuwawa kwenye uchaguzi, na kuachwa na vilema vya maisha kwa katiba hii hii?
Ukiambiwa ukubali kuolewa halafu katiba mpya itapatikana: utakubali?

Ho…
 
Mimi sijasema raisi afate ya lisu ila nimeona kuna umuhimu wa katiba!!! Ushawai jiuliza kwann mstaafu jakaya kikwete alianzisha mchakato wa katiba?? Katiba ina mapungufu kibao katiba inayotumika niya mwaka 77.... Mambo mengi yamebadilika kwaiyo katiba inahitajika sisemi raisi afate mawazo ya lisu au whatever ila katiba niya muhimu ndo dira ya taifa mzee wangu.... Na pia hata yeye anatakiwa kuona umuhimu wa katiba mpya not kwasababu chadema wanataka ila kwa msingi wa taifa letu katiba lazima iwepo mabadiliko ni mengi" katiba ikibadilika na mifumo mingi yakizamani itakufa tutakwenda kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Mama,
Kwa JINSI ulivyoanza vizuri nilikuwa nimeamini kabisa kuwa ulikuwa umejifunza kutokana na makosa uliyoyaona nabila shaka kuyashuhudia,
LAKINI yaonekana kuwa shetani yuleyule alieyumbisha nchi hii, aliyekuwapo ulipokuwa VP, tayari keshaanza kukuyumbisha na kuna kila dalili kuwa atakumaliza vilevile.
 
Imekula kwenu nyambaf nyie.

Tulishawaambia humu na tunaendelea kuwaambia, rais hana muda mchafu. Ana majukumu ya kuyatekeleza. Akutane na wapinzani ili iweje?
We endelea kushangilia tu Utafikiri wanaokufa affected ni watu fulani tu... Unafikiri kukiwa na tatizo wanaoathirika ni wa chama kimoja tu....!!?
 
Sheria za nchi tunatakiwa kufuata wote, isiwe watawaliwa tu.
Watawala nao wafuate sheria badala ya kutumia vitisho. Tumechoka haya miaka mitano iliyopita.
 
Salam zimfikie Mdude Nyagali sifa za kijinga zitamtokea puani. Ataenda jela peke yake sisi tutamuweka hashtag tu huku tunalala na familia zetu wakati yeye analala chini ya ulinzi.
Uzoefu unaonyesha kuwa watawala wasiopenda kufuata sheria wala katiba ni chanzo cha maumivu kwa raia wenye kufuata sheria kudai haki zao kisheria kwa kisingizio cha 'chokochoko'
 
Hii ni dalili ya watawala kujiandaa kutofuata sheria kwasababu tu wameshikishwa mpini na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…