4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Watoto wenu wanasoma bure, aisee, ccm inaalibu Sana vipaji ,Wewe unaongea nini?? Sisi ndio hao wananchi sasa. Sisi wananchi hatutaki kuhadaliwa na Genge la wahuni wachache. Watoto wetu wanasoma bure kabisa na maisha yanakwenda. Leo mnataka tuwaruhusu kina mbowe waturubuni tuanze kudai vitu vya ajabu kwa maslahi yao ili wao tu waingie madarakani???
We are better than that ndugu yangu na wala hatutoingia huo mkenge
Elewa hakuna elim bure Tz , ni Siasa, ila ata iyo mnaoita elim bure pia watoto wanatoka bure,
Mbona Nyie hampeleki watoto wenu kwenye shule izo za bure, ACHA propaganda uchwara, unaleta chakochoko za elim bure wakati hamna kitu, kipaji Chako sio Cha kukaa ccm basi tu unalazimisha, karibu CHADEMA mkuu