Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Jay One wewe ndiye hufahamu. Dkt Ashatu ni mwenye akili nyingi na muadilifu. Ukipata wasaa wa kukaa naye hata dakika moja utagundua, she is unique sana. Ana maono na mitizamo chanya ya maendeleo.
 
Prof Malima alizushiwa mengi lakini alikuwa mtu Makini na muadilifu
Sana, sema Prof. Kigoma alijiingiza mambo ya dini yakamharibu na ku impair uwezo wake kazi kama ilivyo kwa Prof. Asad
 
Jay One wewe ndiye hufahamu. Dkt Ashatu ni mwenye akili nyingi na muadilifu. Ukipata wasaa wa kukaa naye hata dakika moja utagundua, she is unique sana. Ana maono na mitizamo chanya ya maendeleo.
Uongozi ni talanta bila kujali wingi wa akili!
 
Nakupa historia ya wizara

Hiyo 20 years kuna Mramba, Mkullo,, Sada Mkuya na Dr Mpango!

Chagua mwenyewe hapo!
... katika hao ni yupi aliwahi kuwapa wananchi raha? Mzee wa kufakamia nyasi Rais apate mwewe?
 
PhD ni Thesis, Long essay na Dessertation tu.

Hapo nimekuelewa Sana Mkuu.
 
Mwigulu huwa anajieleza au anaeleza uongo?
Yaani unajitokeza kutetea mpigadebe na porojo anazoungaunga Mwigulu ndo unataka kutuamijisha Uzuri wake eti anajua kujieleza? Sisi tunataka maelezo ya kuhalalisha uongo au utendaji uliotukuka? Kumbe kuna watu bado mnafurahia porojo za Kisiasa na mnataka kuaminisha Wananchi kiongozi mzuri ni yule anayejua kujieleza hata kama hakuna contents kwenye maelezo yake?
 
Mwigulu anamuhujumu samia, ataelewa keshachelewa aliambiwa toka mwanzo kaweka pamba asitulilie 2025
 
Ana majibu ya hovyo sana huyu na sidhani kama ni mbobezi kama anavyojiona.
Kufanya kazi kwa kujikomba na unafiki pia sio weledi hata kdg
Kiburi cha ndumba na ufisadi wa kodi zetu kupitia mikopo.
 
Mwigulu ana tija gani kwenye hizo wizara alizowahi pita.Hana tofauti na kigwangala na makamba zero results
 
Kila unachokiona pale hakipo kibahati mbaya kwaiyo tulia uvutishwe pumzi ya moto.
 
Uongo kama upi hasa ambao huwa anaeleza? Naona unahemka kwa mihemko ya genye.
 
Acha utoto Mzee ,VP ni mshauri namba moja wa Uchumi wa Rais pamoja na Mwigulu na huyo huyo Dr.Kijaji sasa unaposema mifumuko isingekuwepo kwani hawapo sasa hivi?

Unaweza zuia mfumuko wa Bei ikiwa bidhaa ni chache?
Unaondoa vikwazo kwenye uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…