Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Madelu ni mojawapo ya mawaziri wa uchumi dhaifu sana kiuwezo niliowahi kuwashuhudia dunia hii.
 
Mwambie achague baraza zima liwe lawanawake na bunge na jeshi end.
 
Jay One mkuu wangu hata huyo Dkt Ashatu hanijui kabisa, kilichonisukuma ni uzalendo wake na uadilifu na uchapa kazi pamoja na uwezo wake wa kuchambua mambo.

You a long time member humu JF, nilitegemea una mawazo makubwa hasa upande wa siasa za nchi yetu, sasa unayempendekeza, unanipa mashaka sana juu ya uwezo wako, and if you keep this trend of thinking, i will nullify you as a great thinker, lazima uwe firm on issues and not on tissues..!! Labda umempendea sura. We are serious here.
 
Kwani makamu wa rais SI ni kpanga wa masuala ya uchumi, mipango na fedha? Kwanini hamshauri boss wake pale anapoona hapako sawa? Au naye ni mmoja wa wawania siti huko mbele?
Nilitegemea rais asingepata shida kabisa Kwa masuala haya ya mipango na uchumi kwani ana msaidizi wa karibu kabisa yaani makamu wa rais. Why asimshauri?
 
Bosi Jay One ni muhimu kabisa kujua kariba ya mtu. Dkt Ashatu kwa hiyo wizara anafaa.
 
Dr Charles KIMEI afaa kuokoa JAHAZI.
 
Ukiacha hizi teuzi mnazowatafutia hapo mabosi wenu kupitia mitandao, hivi mpaka nawe unateuliwa kuwa kunguni huwa mnapatikana vipi to kuaminiwa kuja kuandika takaxII hizi?.
 
Nafunga mjadala Wizara ya fedha apewe Dkt Pindi Chana 🤣🤣🤣🤣. Samahani lakini asubuhi niliamkia K-vant!
 
Nadhani Rais Samia anahitaji mtu sahihi kwa wakati sahihi.

Hivi nyie mnao sema Raisi hana washaul kwa upande wa uchumi, hamjui kua, Dr philipo Mpango makamu wa Rais ni mushaul wake namba moja?
 

Inawezekana huyo pengine ni dada yako wa tumbo moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…