Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
GTs,

Nina maoni:

Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.

Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.

Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!
 
Mchumi gredi wani anaye andaliwa atagusika kweli?
 
... hii nchi ina bahati mbaya sana na wizara ya fedha; ukiacha awamu za zamani huko wengine hatuzijui sana zilivyokuwa, for the past 20 years ni lazima hii wizara ikere wananchi kweli kweli. Bongo bahati mbaya!
 
Alishawahi kuwa naibu kipindi cha jiwe, ila mimi naamini yoyote ndani ya ccm hafai
Nadhani tumpe nafasi, na sababu kubwa ktk kipindi akiwa naibu waziri chini ya waziri Mpango tulishuhudia uchumi ukiimarika. Nadhani Mh. Mpango itakuwa rahisi kufanya naye kazi kwa sababu ni bosi wake na ni rahisi pia kwa Dkt Ashatu kufanyia kazi ushauri.
 
... hii nchi ina bahati mbaya sana na wizara ya fedha; ukiacha awamu za zamani huko wengine hatuzijui sana zilivyokuwa, for the past 20 years ni lazima hii wizara ikere wananchi kweli kweli. Bongo bahati mbaya!
Walikuwepo Jamal, Malima, Kibona na hata yule Mgimwa!
 
GTs,

Nina maoni:

Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.

Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.

Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!
Amekutuma??? maana naona siku hz imeshakuwa style kila mtu akitaka uteuzi lazima amtume chawa wake aje kumuwekea andiko la kumpigia debe hapa.
 
Hana uwezo kabisa, Dr. Mwigulu ndio mzuri kwa mbali sana, there is in no way ukamlinganisha na Ashatu, kwanza Ashatu hata ktk uwaziri wowote ule tu ni mzigo kabisa. Hivi vyeti sijui PhD ni thesis tu, a long essay or dissertation sio kwamba inakuonyesha uko so exceptional, Dr. Mwigulu yuko vizuri sana, hata ukiacha PhD yake, ila he is smart. Kama Ashatu kakutuma mwambie tumekataa.
 
Amekutuma??? maana naona siku hz imeshakuwa style kila mtu akitaka uteuzi lazima amtume chawa wake aje kumuwekea andiko la kumpigia debe hapa.
Rodney01 hapana kabisa hajanituma na hanijui na simjui ila namfahamu kupitia kazi zake.
 
Hana uwezo kabisa, Dr. Mwigulu ndio mzuri kwa mbali sana, there is no way ukamlinganisha na Ashatu, kwanza Ashatu hata ktk uwaziri wowote ule tu ni mzigo kabisa. Hivi vyeti sijui PhD ni thesis tu, a long essay or dissertation sio kwamba inakuonyesha uko so exceptional, Dr. Mwigulu yuko vizuri sana, hata ukiacha PhD yake, ila he is smart.
Hapana, kwenye u smart Dkt Ashatu ni genius! Ana kipaji cha akili! Fuatilia historia yake enzi anasoma IDM Mzumbe au wakati anasoma
PhD yake nchini Norway.
 
GTs,

Nina maoni:

Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.

Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.

Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!
Kama ni usomi anaweza mzidi Mwigulu kweli?

Ni msomi ndio ila hawezi na hajui kujieleza kwa hiyo hata changamoto kama hizi za Uchumi hajui kuongea.

Nimemuona mara nyingi kwenye mikutano ya Ziara za Rais ameahindwa kutolea maelezo ya mambo ya kupanda Kwa bei za vitu na yeye ndio mhusika kwenye hiyo wizara ya viwanda na Biashara..

Pamoja na Chuki zenu sijamuona Waziri wa Fedha wa kumzidi Mwigulu kwa sasa hata yule Mchaga ndio kabisaa ataishia kupaniki na kujing'ata ulimi bure..

Hizo nafasi nyeti zinahaitaji uwe na uwezo wa kujieleza ambao Mwigulu anao na mara nyingi ametoka kutetea sera zake..

Mwisho uchumi unapimwa Kwa matokeo sio blaa blaa blaa zenu.
 
Hana uwezo kabisa, Dr. Mwigulu ndio mzuri kwa mbali sana, there is no way ukamlinganisha na Ashatu, kwanza Ashatu hata ktk uwaziri wowote ule tu ni mzigo kabisa. Hivi vyeti sijui PhD ni thesis tu, a long essay or dissertation sio kwamba inakuonyesha uko so exceptional, Dr. Mwigulu yuko vizuri sana, hata ukiacha PhD yake, ila he is smart. Kama Ashatu kakutuma mwambie tumekataa.
Huko tuu kwenye biashara naona kafeli,ujue kuna watu Bora wawe walimu tuu sio kazi kama hizo..

Mara elfu Mwigulu kuliko huyo mmama hajui kabisa kujieleza.
 
Hapana, kwenye u smart Dkt Ashatu ni genius! Ana kipaji cha akili! Fuatilia historia yake enzi anasoma IDM Mzumbe au wakati anasoma
PhD yake nchini Norway.

Hujui kitu ww, uchawa ushakuharibu, Ashatu na Mwigulu who is smart? Kumbe ww hujui kitu kabisa, ulijua Mh. Rais kumteua Dr. Mwigulu na kumpa Wizara ya Fedha, ulidhania kakosea au hakujua ni mtu smart and brilliant? Ashatu, there is in no way ukamlinganisha na Mwigulu, sbb uchawa umekujaa, hujui kitu
 
Back
Top Bottom