Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
GTs,
Nina maoni:
Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.
Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.
Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!