Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Yako mashirika ya kidhalimu yanayowatumia wanasiasa "koko wa afrika" na taasisi ziitwazo haki za BINADAMU.....Mpuuzi wewe mchumia tumbo udhalimu na dhuluma za nchi hii Wapumbavu kama wewe mnazikumbatia. JITATHMINI ni binadamu wa aina gani wewe kama unastahili kuitwa binadamu.
Anayeufukuza UPEPO huwa ana kazi mno π€£π€£Hana chake huyo si tupo..
Kwahilo mnamuonea mama na ndiyo mjuwe kuwa hayumbishwi suala la kukutana na wapinzani lipo ila chadema wanjifanya wao ji spesho sana hawataki kukutana pamoja wanataka wakutane naye wao pekeyao na ndiyo maana kawapuuza hawana jipya kwani vyama vingine siyo vyama ila wao tu hayumbishwi na kelele zao ndiyo msingi wa huu Uzi uelewe waambie chadema wasijione kuwa wao ni spesho kuliko vyama vingine wao ji nani?
Yako mashirika ya kidhalimu yanayowatumia wanasiasa "koko wa afrika" na taasisi ziitwazo haki za BINADAMU.....View attachment 1976628
Unataka kusema chadema ni sawa na CHAUMA, au TADEA, au UMD,? Hauko seriouschadema wasijione kuwa wao ni spesho kuliko vyama vingine
Tunataka Rais wa hivi sio Rais mihemko ,big up mama.Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Tuzidi kumuombea kwa Mola wetu, amzidishie hekima, busara na maarifa katika kufanya maamuzi yenye kuzingatia haki katika kipindi chote aiongozapo taasisi nyeti ya urais. Maamuzi hayo yajikite katika maslahi ya Tanzania kwanza, kisha ndipo yaje ya chama chake.Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Karibu uone moto wakeAnayumbishwa sana tu huyu bibi. Sema umeamua kuchagua mambo yanayokufurahisha wewe tu na kuyaacha usiyoyapenda.
Nikujuze mahala alipoyumba.
Akilihutubia bunge aliahidi kukutana na vyama vya upinzani. Mpk leo hajafanya hivyo.
Chadema waliandikiwa mpaka barua na alitoa ahadi ya kukutana na chadema mpk leo ziii.
Mkuu BAK una matusi mengi mnoπ€£π€£Huna akili wewe taahira. Mwanasiasa koko mwingine huyu hapa. Wapuuzi kama wewe ni bora ungeishia kwenye takakata tu kwa ndom uliyokuwemo kutupwa jalalani. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye utajiri mkubwa sana na mikopo na misaada ya trillions lakini hatuna chochote kile cha kujivunia lakini pimbi wewe hata kuhoji HUHOJI!!!
πChifu Hangaya km Chifu Hangaya
Aaaamin aaaaminπTuzidi kumuombea kwa Mola wetu, amzidishie hekima, busara na maarifa katika kufanya maamuzi yenye kuzingatia haki katika kipindi chote aiongozapo taasisi nyeti ya urais. Maamuzi hayo yajikite katika maslahi ya Tanzania kwanza, kisha ndipo yaje ya chama chake.
Abadilishe salamu yake aliyoiasisi ya kulitanguliza sifa ya jina la JMT, jamhuri ambayo yeye ndiye anayeiongoza. Badala ajishushe chini kwa utii na heshima, katika salamu yake atangulize sifa ya jina la Mola wake ambaye ndiye pekee anayemuongoza.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
πTunataka Rais wa hivi sio Rais mihemko ,big up mama.
Mkuu BAK una matusi mengi mnoπ€£π€£
Anyways.....
TANROADS imeanzishwa mwaka 2000.....ndani ya miaka 21 imejenga kilomita za lami 35,000.....
Hizi kwako si maendeleo π²π€£π€£
Umejipa kazi ya KUYAFUNIKA MACHO KWA VIGANJA huku ukichungulia KIJANJA kupitia uwazi wa vidole vyako π€£π€£π€£
SIEMPRE JMT
SIEMPRE CCM
Na wangekuwa wakubwa zaidi wangemzuia MDUDE NYAGALI asiyatukane matusi siku ile aliyomshambulia mh.Rais SSH.....kinyume chake akaachwa tu....Unataka kusema chadema ni sawa na CHAUMA, au TADEA, au UMD,? Hauko serious
Kwani hapa unaongea na JPM?!! matusi hayo umenitukana mimi....Matusi kusema kweli kuhusu wewe kuwa mpumbavu? Matusi ya magufuli uliwahi kuyasikia? Mauaji yaliyofanywa na magufuli uliwahi kuyasikia? Acha ujinga wewe Tanzania ni yetu sote si ya genge la wahuni wachache.
Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja majina yao, umma utashangaa na kushindwa kuamini. KATIBU MKUU WA (CCM), DK. ALLY BASHIRU. Sambamba...www.jamiiforums.com
Kwani hapa unaongea na JPM....matusi hayo umenitukana mimi....
Anyways....CCM ina historia pana zaidi ya huyo Dr.Bashiru....hivi kama kweli alitaka kulinda heshima ya CHAMA zaidi ya kuweka LEGACY NA SIFA KIKUNDI angeliongea vile HADHARANI?!!!
CCM haina vikao vya ndani?!!!
HIVI PAMOJA NA YOTE ALIYOFANYIWA DR.SLAA NA CHADEMA(kubadili gia angani) ulimsikia wapi akiiponda CHADEMA na kuibananga hivyo?!!!
Dr.Bashiru kwangu mimi ni mwalimu mzuri wa siasa ila si mwanasiasa wa vyama.....
Hivi CCM yenye wanachama wengi inakosa wapi kuwa na MAJIZI NA WACHAFU WA TABIA?!!
Yaani wachafu wachache ndio iwe sababu ya kuipaka matope TAASISI?!!!!
Na ndio maana ameondolewa chamani kwetu.......
SIEMPRE CCM
Mbowe hakuufanya udhalimu wa kumuondoa Dr.Slaa kugombea urais kwa kubadilisha GIA angani?!!!Matusi kukuita mpumbavu? Kama unaandika upumbavu humu unataka nirembe? Matusi, udhalimu na dhuluma za magufuli na samia uliwahi kuyakemea? Au kwa kuwa wewe ni mchumia tumbo unayetafuta teuzi huyaoni?
Bado unaandika upumbavu wa hali ya juu kuhusu maccm na Slaa. Unajua history ya Slaa kujiondoa Chadema?
Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia. Najiuliza maswali 1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni...www.jamiiforums.com
Mbowe hakuufanya udhalimu wa kumuondoa Dr.Slaa kugombea urais kwa kubadilisha GIA angani?!!!
Hivi unataka kutudanganya kuwa Mbowe hakuvutwa na "nguvu aijuayo" kufanya yale maamuzi?!!!
Hivi watanzania ni wajinga kwa kuelezwa sababu nyepesi za CDM "kumsajili" mh.Lowassa?!!!π²π²π²π€£π€£
Kumbe unaweza kukomenti bila ya matusi ya fedheha...π€£Nimekuuliza unajua sababu ya Slaa kujiondoa Chadema? Au unakurupuka tu? Mimi ni mmoja wale ambao tulipinga sana ujio wa fisadi lowassa. Kwa jinsi unavyoandika unaelekea hujui hasa kiini cha Slaa kuondoka chadema. Mtafute Gwajiboy akueleze yote yaliyojiri hadi Slaa kuamua kuondoka chadema.