Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

Kwa hiyo wewe unapenda uhasama.
Uhasama huwa hauepukiki aisee. Huo upogo tu. Hata Mkapa alipambana sana na CUF.

Chadema mbiwe akikaa kimya kina heche watapiga kelele, heche akikaa kimya kina mdude watapiga kelele.

Uhasama na malumbano ndio gharama za kuwa wapinzani wawili. Vinginevyo muungane mgawane madaraka.
 
Tangu zamani walikuwepo kwani hao UV wameanzia awamu iliyopita tu !!
Mkuu, Unaelewa, naelewa. Wananijua, nawajua wengi tu, sasa hivi ni utitiri na ma BOT ndani.

Ni genge kubwa la kimkakati. Cha kusikitisha na fedha zinazoombwa kwenye bajeti, sioni zikileta, angalau, 'Uafadhali' kuwapunguza.

Na inafika sehemu naanza kutengeneza njama mwenyewe; inaeleweka makusudio (ya bajeti)yaweza kuwa na uhalali wa kuleta afueni halafu yakakunjwa angani kugaragasa n.k

Kiranja yule, alikatiwa mti wake wa kugema mbilimbi...akaleta za kuleta unafikiri itakuwaje...Kiranja mkuu naye akatumia rungu lake.

Matokeo yake, na kukwazika huko, mambo ya kusengenya poa....Uhasama umeshajengwa na itachukua mda-Kurakabisha.

Wanao-'Umiaa'ni Jamii& Familia.
 
Awamu ya Tano chini ya dicteta magufuri siasa za ugomvi,vijembe,matusi,dharau na kukomoana zilishamiri sana.
Haki-Sawa??.

Unajua nani walikomolewa chagua upande wowote ni haki yako;
Unajua ugomvi huo ni wa kibinafsi-Kila nguli alijitutumua; chagua pande ni haki yako

hiyo dharau unayodai ilikuwa ni vita tu.(social or class warfare) hence majina ya magenge-chagua pande haki yako;

Unajizimisha data- Hayo uliyoandika ndio Uhasama wenyewe. Na I am 1000% hukuathirika na yote hayo uliyasema ila una faidika nayo.

Wahenga walisema " Fainali Uzeeni" utakumbuka uhasama. Utagundua baada ya Data kurichaji.
Tafuta Amani mapema.
....
 
Samia asichukulie rahisi kihivo cos hiyo nafasi yake watu wanaitaka na wanajua kuwa kuipata lazima wafanyekazi kubwa na sio kutabasam mda wote
Cheki hizi akili za kimagufuli, hovyo
 
Hivi MUSIBA (mwanaharakati huru) yupo wapi nimemisi matamko yake.
 
 
Sure
 

Kwa hiyo CCM kupora chaguzi za nchi hii ndio hizo siasa za kistaarabu? Ukweli ni kuwa CDM waliwazidi sana CCM kwenye hoja, na kwakuwa CCM haikuwa tayari kuzidiwa na CDM, ndio hapo wakageuza siasa kuwa uhasama.
 
Sie wanaccm hatunaga jau na mtu, chadema walitunyanyasa Sana enzi za kikwete, Kwa mwamba waccm tulipumua

Hamkupumua kama chama cha siasa, bali mlipumua kwa mbeleko ya vikundi vya utekaji, kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola nk. Ukiona chama kina miaka zaidi ya 50, lakini uimara wake unategemea vyombo vya dola, basi ujue hapo hakuna chama.
 
NA HUU NDIYO UISLAM JINSI UNAVYOTUTAKA TUWE, LINI UKAONA KIONGOZI WA KIISLAM AKA UMIZA WATU, HAPA TANZANIA ZAIDI YA UTU WA HALI YA JUU.
 
NA HUU NDIYO UISLAM JINSI UNAVYOTUTAKA TUWE, LINI UKAONA KIONGOZI WA KIISLAM AKA UMIZA WATU, HAPA TANZANIA ZAIDI YA UTU WA HALI YA JUU.
Zanzibar viongozi waislamu. Mauaji, utekaji, uporaji ni mambo yanayofanywa na watawala.
 
Tunapokosolewa tuyaangalie, yale ya kweli tuyachukue tuyafanyie kazi makosa yawe yameondoka. Yale ambayo sio ya kweli twendeni tukajibu kwa hoja lakini kubwa ni ustahamilivu."- Rais Samia Suluhu
 
Chadema waliwahi kumteka au kumuua kiongozi wa CCM?
 
CCM ya Mwendazake hawataki siasa za amani, wamesikitishwa saana na hatua ya Mwenyekiti wetu Taifa kusema sasa yatosha - hawana uhakika kama watatoboa majukwaani maana wengi walisaidiwa kupita majimboni bila kupingwa, kuiba kura nk.
Walitakiwa wajue kuwa, hata siku moja, shetani hawezi kukupa mafanikio ya kudumu. Aliwaonjesha anasa kwa njia haramu na za kifedhuli, baadaye wajutie.
 
Kwa hiyo CCM kupora chaguzi za nchi hii ndio hizo siasa za kistaarabu? Ukweli ni kuwa CDM waliwazidi sana CCM kwenye hoja, na kwakuwa CCM haikuwa tayari kuzidiwa na CDM, ndio hapo wakageuza siasa kuwa uhasama.
Shida yenu hamliwezi kukiri madhaifu, yaani sie CCM tupite mtaani na Sare zetu muanze kutuzomea na kuturushia makopo hizo ndo hoja? Mlifikia hatua mbaya mpaka ya kutuvurisha Sare mtaani hizo ndo hoja? Misafara ya viongozi wetu mlikuwa mnaizomea na kurusha mawe, hizo ndo siasa za kistaraabu kwenu? Revenge za magufuli ilikuwa ni kujibu siasa zenu za kishenzi, Sisi wanaccm ni watulivu na hatunaga mihemko Ila ukizidisha chokochoko hatuwezi kuvumilia upumbavu lazima tukunyooshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…