Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

SAMIA KUKUBALI KUSHINDWA PIA NI USHINDI MAMA.

UMEJARIBU, ULIVYOFANIKIWA UMEFANIKIWA, HEBU KAA PEMBENI UPISHE WENGINE NAO WAJARIBU.

USIVUNJE STAHA ULIYOJIJENGEA KWA MUDA MREFU KWA KUNG'ANG'ANIA USIVYOWEZA. URAISI HUUWEZI MAMA.

na makamu wake nae ni shida sana utafikiri mgonjwa
 
Mafuta yanapanda kwa 400 lakini bajeti inatekelezwa ileile iliyowasilishwa na madelu, napendekeza madelu akaandae bajeti mpya itakayoendana na mlipuko huu wa bei ya mafuta.
 
Kwa mantiki hiyo ni kwamba Sipika alikuwa Hana taarifa kutoka wapi maana Tabasamu ndiyo alikuwa ana karibu kiipresent
Nafikiri alimaanisha taarifa ya jambo kubwa jipya ili aliweke kwenye ratiba. Lakini aliambiwa alipelekewa memo siku moja kabla, kwa maslahi ya umma, amgeruhusu hoja ya Mbunge ifike mwisho, na serikali ilete majibu.
 
Naelewa ulichoandika.

Licensing Authority ya hapo PBPA, ni EWURA, na ipo influence ya nyuma ya korido.

People are acting smarter.

Hii ni Regulation inayoendesha hao PBPA.
 

Attachments

Asante kwa kuwa pamoja ktk hoja na ueledi.
 
Ni was tunaibiwa Sana na batina kashajifunza wizi na amependa madarak hvyo wanataka arud ofcn 2026 bungeni Kam spika kwa vuovyote vile pesa zinakuzanywa sana
Ni wa ajabu sana. Tulia ni mbinafsi na mroho kweli. Sikujua
 
Kwa hiyo MD wa Ewura ndio wanazalisha nakusafirisha mafuta si ndio?

Rais sio mjinga kama wewe
 
Kwa hiyo MD wa Ewura ndio wanazalisha nakusafirisha mafuta si ndio?

Rais sio mjinga kama wewe
Shida ni kuadimika kwa dola $.

Hiyo sababu yako ya kuzalisha na kusafirisha mafuta umeitoa wapi
 
HIVI UNADHANI HAJUI..? ANAJUA VIZURI TU...ILA NI HIVYO NI PICHA TU HATA HAITISHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…