DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Halafu hiyo familia ya Samia wanavyojifanya waswahilina na wapenda haki,inakuaje wanaruhusu mambo kama haya kwa sababu sio mara ya kwanza kusikia habari za huyo kijana wake hapo kariakoo akisumbuana na maofisa wa TRA?
Anakwepa Kodi sababu mama yupo jumba jeupe?
Sisi tunalipa Kodi na tozo juu na tunahimizwa kufanya hivyo au sio?

Ila TRA Tanzania pale MAPATO House fanyeni maboresho ya huduma yaan foleni ni kero na issue ya mifumo sijui kufanya nini kusumbuana tu mifumo mizinguo yaan ningekua mimi nawakwepa tu kwani nini?
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Ndugu lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi. Mbona wafanya bisashara wengine wanalipa. Hakuna aliye juu ya sheria. Kama anataka kula matunda ya nchi, ale kwa mshahara wa mama
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Na mimi nimeshangaa,yaani kumbe anakimbiza mwenge kariakoo kama sisi?na bado masikini wavivu wanapiga mayowe
 
Bi.tozo anatuharibia hii nchi yetu.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kwani anauza matairi used? Kama ni mapya basi hiyo siyo biashara ya kimaskini bwashee.
 
Wacha atumie Fursa
 
Ni aibu na fedheha, Mama akipata ujumbe huu anapaswa kesho tu kutoa amri kwenye vyombo husika kudeal naye ili ajinasue naye, HII NI KASHFA KUBWA..
 
Huo ndio ujinga wa mwafrika.Hii species ni shida tupu duniani.
 
wq... sikufaham na ndio kwanza naskia jina lako leo. Ila piga kaz
Naskia hapo kkoo usiqQ1ku shimon ni nchi na ina watu,aliwah kusema jamaa mmoj hapa anakuaga na mada za uloz ulozq1
Wewe fanya kaz labda umewatibulia biashara yao wanaona wachina wanakupa tenda sana.
 
Wanataka waje kumcheka Mama yake akitoka madarakani Kua mtoto wa Raisi hakua na akili, Abdul endelea kupiga Hela nyingi zaidi ya hizo piga hela piga Hela hachana na wenye wivu

Mama akitoka madarakani na ukiwa hauna hela watakucheka
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA

Nimeshangaa sana mtoto wa rais kuwa na fremu k/koo,biashara bila magumashi kutoboa ngumu.......Huyo mtoto wa sir100 ilitakiwa arun bizness kubwa kubwa na si retail.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…