Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Kha!! Hii ni bangi sasa, mkalale jameni.....hehehehe
 
We utampigia kura Baba?

Halafu kwa nini mnamuita Baba?

Ila nawapenda wanawake wenu waliopo kwenye siasa…Sabina Chege….Cate Waiguru….nk.
Kuna mwingine anaitwa Milicent Omanga ana chura balaa
 
Back
Top Bottom