Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Ona mama JP anavo waka waka.tangu bendela nusu mlingoti.
 
Here only for the brown skin, long live JPM you had good taste my nicca
 
Niwashe WhatAup kivipi? Niitafute JF kwenye WhatAup?
Hiyo picha iliyopandishwa source yake ni WhatsApp. Ukiwasha WhatsApp application ukifungua na hiyo picha ndio itafunguka.
Ni sawa na attachments ambazo ziko kwenye mfumo wa words, Excel, pdf, video baadhi ya simu Kama huna hizo applications huwa hazifunguki mpaka uziactivate apps husika.

Jaribu hivyo kwanza ukishindwa basi sina njia nyengine ninayo ijua.
 
Mama JPM (rip) kanawiri na anaonekana ana amani kabisa
 
Mbona hilo jumba nyuma yao halijakaa kama la Ikulu Dar? Liko kama yale ya kale Bagamoyo. Au ni sehemu ya Ikulu ambayo haionyeshwi mara kwa mara?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…