kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Niwashe WhatAup kivipi? Niitafute JF kwenye WhatAup?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masihara hayo !!!Washa WhatsApp itafunguka. Hata mimi ilikuwa hivyo hivyo, hivi sasa mambo Bam Bam.
Vyeti feki wapo kazini kueneza vipropaganda vya kumchafua MagufuliJanet amenawiri na anang'aa kwasasa, kuliko ilivyokuwa wakati wa utawala wa Jinamizi.
Nani amchafue mgonjwa wa akili?Vyeti feki wapo kazini kueneza vipropaganda vya kumchafua Magufuli
Ni kweli ndugu yangu.Masihara hayo !!!
Acha ukabila weweSimchukii Mama yetu wa Kitutsi.
Mgonjwa wa akili ni lisu bwasheeNani amchafue mgonjwa wa akili?
Sijawahi kuona mgonjwa wa akili akipangiwa kuuwawa.Mgonjwa wa akili ni lisu bwashee
Here only for the brown skin, long live JPM you had good taste my niccaKatika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
View attachment 2589734
Alitegemea nini kwa kuhatarisha uenyekiti wa mfalme? Hakujua kuwa sumu haionjwi kwa ulimi siyo?Sijawahi kuona mgonjwa wa akili akipangiwa kuuwawa.
Hiyo picha iliyopandishwa source yake ni WhatsApp. Ukiwasha WhatsApp application ukifungua na hiyo picha ndio itafunguka.Niwashe WhatAup kivipi? Niitafute JF kwenye WhatAup?
We ndio ulikuwa mke wake wa pili?Janet amenawiri na anang'aa kwasasa, kuliko ilivyokuwa wakati wa utawala wa Jinamizi.
Kumbe nawe ulikuwa mke wa pili wa jiwe?Kuishi na zimwi nyumba moja kwa miaka thelathini si mchezo
Mama JPM (rip) kanawiri na anaonekana ana amani kabisaKatika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
View attachment 2589734
Mbona hilo jumba nyuma yao halijakaa kama la Ikulu Dar? Liko kama yale ya kale Bagamoyo. Au ni sehemu ya Ikulu ambayo haionyeshwi mara kwa mara?Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
View attachment 2589734
Sema huna pesa usigeneralizePicha hazitusaidii wakati pesa ya uma inaibiwa.
Twende kwenye mambo ya msingi tuachane na habari za picha
Hapo ni ikulu ya wapi?tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
![]()
Beloved wa shetani!! Sema "my beloved" usiwasemee wengine. Janet mwenyewe anakushangaa[emoji23] Ulimchukia sana our beloved late president