Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.

Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,

Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
WhatsApp Image 2023-04-15 at 22.07.53.jpeg
 
Hayo mavazi yake pesa ngapi? Anapata wapi pesa kununua mbona yako pesa mingi, but hakuna mvuto
 
I look at those behind them

you may think they are believers but they are actually security wearing robes and hijab.
 
Back
Top Bottom