benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,
Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?