Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

Ushauri mzuri ,naongeza langu hapa ,Ndugu Rais umewaita machief sasa tunaomba mwaliko wako jf member ambao sio machawa , tuzungumze na ikiwezekana tukupige spana pale panabidi kwa maslahi mapana ya taifa hili.

Ndugu rais machawa sio dili kama mtoa mada alivyogusia ,na sasa yamegeuka kunguni angalia yasije kukunyonya dam.

Ni matumain yangu ujembe umekufika na ombi litazingatiwa
 
Mimi kilio changu huwa kwa watu wa kitengo.. yani hao wakifeli kung'amua hizo ishu na athari zake basi taifa liko fu*ked.
Tanzania hadi sasa kwa macho nimeshuhudia mtu mmoja tu mwenye dira Magufuli basi...
Sijawahi ona mtu mwingine wa kitengo mwenye akili maana wote hata waibeje huwa system zikichange wanafilisika vibaya mno
So who are watu wa kitengo unadhani wanaweza kuwa na dira ya taifa ikiwa wao wenyewe dira zao hawazijui
 
Naomba uelewe, Marie Antoinette no Austria alikozaliwa, siyo MJERUMANI, mimi ni historian Kitaaluma, ni eneo langu, mtaalamu wa paper zote, paper one paper two, nipo nafundisha hayo masomo kwa zaidi ya miaka 15 sasa,
 
Akikusikia na kufanyia kazi andiko basi roho mtakatifu atakuwa katuona ila acha tukome
 
Umeongea vizuri Sana. Hakika kuna mikataba ameingia itatugharimu watanganyika. Niwe muwazi simpendi huyu mama kwa moyo wangu wote
Hata yeye anajua anachukiwa tena wengine walio karibu naye. Ndiyo maana hata wengine wanapotoa mifano wanasema "Mwamba (MAGUFULI) alikuwa anafanya hiki na hiki inamaanisha nn! kwamba hawezi. Ni maneno ya mteule wake. Aliyekataa kuitika kwenye tume ya Sheria na haki zetu. Waliyoiweka wenyewe.
 
Nchi isiyoheshimu Sheria Katiba ni kama Jarida tu katika Maktaba au kanuni watu wanazojisemea katika maongezi yao....
Si kweli
Alipokufa magufuli watu walisoma katiba ndo mama akawa raisi

Kuna nyakati ngumu zikifika Kila mtu ataisoma tu hata wasioipenda inawabidi wasisome. Tu

Kutokuiheshimu katiba ni weakness za muundo wa katiba yenyewe na hatutaruhusu huo mwanya utokee kwenye katiba mpya

Nafikikiri umepata shule ya kutosha dogo
 
Katiba ni makubaliano a social contract, Katiba ni Sheria lakini kama Sheria haifuatwi sio kakijitabu tu bali ni kitabu hata kisichosomwa ingawa tungekuwa tunafuata Sheria hata bila hicho kitabu tungekuwa tuna Katiba (social contract)
Basi kwa msingi huo 'katiba' ya kwanza ni uwajibikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…