Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

Jambo la tofauti maadui wa Magufuli walikuwa wanajulikana ila wa huyu wako mseto
 
Nadhani 'walioiheshimu' katiba baada ya kifo cha Magufuli walikuwa wanajua kwanini walipaswa kuheshimu katiba
 
Katiba inazungumzia kubadilishana Urais pekee, ni mangapi yalikuwepo kwenye Katiba mfano mgombe huru yakavunjwa watu waliposhitaki mahakama ikabadilisha proactively ?

Nimesema katiba ni sheria na nchi / watu wenye utamaduni wa kutofuata sheria huo utakuwa ni muendelezo wa kuongeza mambo ya kuvunjwa nadhani umenielewa Katiba haifanyi automatically watu kufuata sheria bali inabidi watu tuwe na utamaduni wa kufuata na kutii sheria bila shuruti (hata hizi zilizopo sasa)
 
Mikataba mibovu aliyoingia ni ipi?
 
Asante kwa bandiko hili,natamani kama lingemfikia ama awepo wa kumfikishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…