Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

Magufuli alitengeneza bunge la Chama KIMOJA la hovyo kwa kura za kupita bila kupingwa. Kwenye vyama vingi unapitaje bila kupingwa?
 
Ulisikia maelezo ya Waziri Mkuu wakati anahutubia Bunge?

Hiyo ibara ya 4 inaitaka Tanzania kuomba ridhaa gani?

Umesoma kweli mkataba wewe?
 
Hoja hazina mantiki kaka, huu sio mkataba wa kwanza kusainiwa na serikali ya TZ, inasainiwa mingi sana kila siku.
Hiyo mingi ya huko nyuma ilikuwa ni makubaliano? Hoja ni kwamba kilichosainiwa ni mkataba, na hivyo vipengele vyote vibovu vina nguvu ya kisheria ya kututia kitanzi. Virekebishwe au mkataba ufutwe.
 
Huyu rais alijiamini kuliko uwezo wake. Uwezo ni mdogo. Lakini pia Ukiona mtu anajishirikisha sana na rangi isiyo yake, yaani anajipa race ambayo si yake, fahamu kuna mapungufu ya uelewa. Mwafrika ni victim wa mataifa yote ya dunia hii, hivyo huwa tunashirikiana na dunia kwa tahadhari.

Rais wetu anaamini ni mwarabu na anaamini waarabu wanamuona hivyo. Bahati mbaya yaonekana kumbe DP World walianza zamani kuchota akili ya watu kupitia dini. Angalia video hiyo chini, halafu jaribu mumtambua huyo mwenzetu anayejitambulisha kama mwakilishi wa DP world ni nani??
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo mingi ya huko nyuma ilikuwa ni makubaliano? Hoja ni kwamba kilichosainiwa ni mkataba, na hivyo vipengele vyote vibovu vina nguvu ya kisheria ya kututia kitanzi. Virekebishwe au mkataba ufutwe.
Huna ujualo mkuu, mkataba kwenda bungeni tayari ni kinga ya kisheria.
 
Yeye na mbarawa ndio wahusika wakuu wa huu uchafu.
Mambo ya kugeuza serikali ya ndugu zako
 
Waziri mkuu kwa hili aachwe afanye Kazi zake,
Ahusiki na hili la bandari.
 
Wewe mbinguni moja kwa moja
 
Hiyo mingi ya huko nyuma ilikuwa ni makubaliano? Hoja ni kwamba kilichosainiwa ni mkataba, na hivyo vipengele vyote vibovu vina nguvu ya kisheria ya kututia kitanzi. Virekebishwe au mkataba ufutwe.
Mikataba yenye nguvu ya kisheria ni ile itakayokuja kuwa ya kibiashara, projects contracts.

IGA ni summary tu, shughuli nzima inakuwa ndani ya HGA inayoweza kuwa na vifungu zaidi ya 150.
 
Hatoswi mtu.

Tunaenda nao haoha mpaka kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…